Msaada: Nawezaje kufungua akaunti ya UTT?

Msaada: Nawezaje kufungua akaunti ya UTT?

Eeh hebu jaribu kwa 300M uone 1% yake itakuwaje?[emoji16] Hii mifuko ni mizuri kwa mtu ambaye walau ana Billion 2 au 3. Anaweza kuishi maisha yake yote yaliobaki anakula na kulala tu. Akiamka anaenda GYM.

Kumbuka hapo hufukuzani na TRA wala Manispaa mkuu. Hii mifuko ni mizuri sana kuwekeza ilihali u kijana ili ukizeeka gawio linakuwa refu tayari.
Sure Mkuu
 
Eeh hebu jaribu kwa 300M uone 1% yake itakuwaje?😁 Hii mifuko ni mizuri kwa mtu ambaye walau ana Billion 2 au 3. Anaweza kuishi maisha yake yote yaliobaki anakula na kulala tu. Akiamka anaenda GYM.

Kumbuka hapo hufukuzani na TRA wala Manispaa mkuu. Hii mifuko ni mizuri sana kuwekeza ilihali u kijana ili ukizeeka gawio linakuwa refu tayari.
Kijana penda risk
Hizo mbio na TRA, Manisipaa, Fire, TMDA, TBS na Competitors ndio utamu wenyewe wa biashara

#YNWA
 

Naomba ufafanuzi zaidi hapo kwenye mfuko wa kujikimu, kwa mfano nikijiunga kwa kianzio cha 2m, means ntapata gawio kila baada ya miezi mitatu, sasa nataka kuja ili niendelee kupata hili gawio ,wakati nataka kukuza mfuko itanibidi niweke tena 2m, au hata kiwango kidogo? ,km hapo naona wamesema kiwango cha chini cha kukuza mtaji ni 5k
 
Back
Top Bottom