Msaada: Nawezaje kufungua akaunti ya UTT?

Msaada: Nawezaje kufungua akaunti ya UTT?

Leratoo nimefanikiwa dada 😂😂😂
IMG_8138.jpeg
 
kahela kadogo jaman
Eeh hebu jaribu kwa 300M uone 1% yake itakuwaje?😁 Hii mifuko ni mizuri kwa mtu ambaye walau ana Billion 2 au 3. Anaweza kuishi maisha yake yote yaliobaki anakula na kulala tu. Akiamka anaenda GYM.

Kumbuka hapo hufukuzani na TRA wala Manispaa mkuu. Hii mifuko ni mizuri sana kuwekeza ilihali u kijana ili ukizeeka gawio linakuwa refu tayari.
 
Shukrani, tofauti na kuchukulia pesa kwa njia ya simu ama banki naweza kwenda ofisini kwao nikachukua/kuweka mzigo?
Kutoa ndiyo kuna njia hii ya kutolea kwa simu nimejuzwa na Leratoo nipo kuitest nione salio likija.

Kwao unaenda wanakupa form unajaza. Kisha unaziacha hapo unangoja kupokea pesa through ur bank

Kudeposit ofisini kwao sidhani
Ila mm natumiaga crdb kufanya transfer
 
Hiyo hela watakuingizia kwenye account yako ya bank. Ofisi kujaza fomu kuanzia mil 3
 
Back
Top Bottom