Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Sijajuamwanza wapo sehem
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijajuamwanza wapo sehem
Eeh kaa tu kwa kutulia utaelewambona kama nimetamani haya mambo
Liquid Collection Fund Unatoa Ndani Ya Siku 3 Za Kazi Unapewa Cash Yakona unauwezo wa kutoa muda wowote
Basi nitaenda na hyo ulonishauriYes
Ila hiyo mifuko mingine nadhani unasubiri mpk miezi mi3
*150*82# hakikisha unasalio la kawaida sh 100Weeee
Nifundishe hii em nijaribu hapa kutoa elf 20 😂😂😂
Kwa app haifai?*150*82# hakikisha unasalio la kawaida sh 100
aah watu mnajua*150*82# hakikisha unasalio la kawaida sh 100
mama mtaalam wa UTTKwa app haifai?
Maana hapo mpk nmalize process ni km jero au
Vodacom Ndiyo Mpaka Salio Endapo Anatumia Tigo/Airtell Wao Ni Bure Tu*150*82# hakikisha unasalio la kawaida sh 100
Kwaiyo hapo unataka uuze
Hapo liquid bond ni ipi
OkVodacom Ndiyo Mpaka Salio Endapo Anatumia Tigo/Airtell Wao Ni Bure Tu
Number 5Hapo liquid bond ni ipi
UkwasiHapo liquid bond ni ipi
Sijawahi kutoa Kwa app sijui Kama inakubali .Kwa app haifai?
Maana hapo mpk nmalize process ni km jero au
kiswahili kigumuUkwasi
Liquid- ukwasiHapo liquid bond ni ipi
Ngoja nijaribu kuchomoaSijawahi kutoa Kwa app sijui Kama inakubali .