Sijawahi kufatilia subiri nilifanyie Kazi nifatilie account yangu.Okay Asante kwa ufafanuzi, Naskia lile gawio linaloingia kwenye account ni kwa siku za kazi tuu yan ( Monday to Friday) so kwa public holyday vp? Mfano J3 ni Eid, Means kuanzia leo Jumamosi mpaka Jumatatu, hela ya mtu ita stuck, then Jumanne ndo ile percent itaendelea kuongezeka?
Okay utatupa feedback,Sijawahi kufatilia subiri nilifanyie Kazi nifatilie account yangu.
Umeweka UTT au unang'aa sharubu tuNenda kwenye ofisi zao wakupe fomu ujaze
Ndio mzeyaWe c unaendesha bodaboda, ilishawahi kukuingizia 200k kwa week?
Ni kweli mkuu, weekend na holidays hakuna gawio, but kwa experience yangu ikiwa weekend ndefu mfano ijumaa Hadi jumanne ya week inayokuja then siku za kazi zikianza jumatano ijayo gawio huwa linaongezeka wakikuwekea, let's say huwa wanakupa elfu 1 minimum kila siku, baada ya weekend na holidays wanaweza kukupa Hadi elfu 4 kwa jumatano inayofuatia, hopefully umenielewa mkuuOkay Asante kwa ufafanuzi, Naskia lile gawio linaloingia kwenye account ni kwa siku za kazi tuu yan ( Monday to Friday) so kwa public holyday vp? Mfano J3 ni Eid, Means kuanzia leo Jumamosi mpaka Jumatatu, hela ya mtu ita stuck, then Jumanne ndo ile percent itaendelea kuongezeka?
So means ile hela ya siku tatu, mfano week hii, Saturday, Sunday & Mon (Eid) watakuja kuzitoa J4 tarehe 18 pamoja na hela ya hiyo J4 ,yani so km kwa siku ni 1000, bhas ntarajie J4 napokea 4kNi kweli mkuu, weekend na holidays hakuna gawio, but kwa experience yangu ikiwa weekend ndefu mfano ijumaa Hadi jumanne ya week inayokuja then siku za kazi zikianza jumatano ijayo gawio huwa linaongezeka wakikuwekea, let's say huwa wanakupa elfu 1 minimum kila siku, baada ya weekend na holidays wanaweza kukupa Hadi elfu 4 kwa jumatano inayofuatia, hopefully umenielewa mkuu
ndo hivyo boss.. mfano mm kila siku naingiza 3000, sasa kwa siku ya kazi mfano j 4 hapo naweza kuingiziwa 12000So means ile hela ya siku tatu, mfano week hii, Saturday, Sunday & Mon (Eid) watakuja kuzitoa J4 tarehe 18 pamoja na hela ya hiyo J4 ,yani so km kwa siku ni 1000, bhas ntarajie J4 napokea 4k
Unaweza kufungua kupitia Web yao na hata kuna namba *150*83# piaUnaenda kumbe manual
Sisi wazee tunaweka Bond....Upo mkoa gani? Kuna baadhi ya mikoa wana ofisi.
Liquid fund ndiyo mfuko wangu pendwa
Hujui hata ABC au unajua kdg?
Asante mkuuUnaweza kufungua kupitia Web yao na hata kuna namba *150*83# pia
yaaan na bora maana ukishazeeka kuendesha miradi inakua ngumuSisi wazee tunaweka Bond....
Unafanya kazi ganindo hivyo boss.. mfano mm kila siku naingiza 3000, sasa kwa siku ya kazi mfano j 4 hapo naweza kuingiziwa 12000
Hata mm nime lewa hivoSo means ile hela ya siku tatu, mfano week hii, Saturday, Sunday & Mon (Eid) watakuja kuzitoa J4 tarehe 18 pamoja na hela ya hiyo J4 ,yani so km kwa siku ni 1000, bhas ntarajie J4 napokea 4k
Kichukue mkuu fastaAsanteni kwa mada nzuri hakika kuna chakuchukua hapa
Kwann bond na sio mifuko mingineSisi wazee tunaweka Bond....
Weekend ni hakuna gawio kabisa, watakuja kufidia Ela ya jumatatu, so Kama huwa unapata elfu 2 tegemea Kati ya elfu 3 Hadi elfu 4, hii naongea kwa experienceSo means ile hela ya siku tatu, mfano week hii, Saturday, Sunday & Mon (Eid) watakuja kuzitoa J4 tarehe 18 pamoja na hela ya hiyo J4 ,yani so km kwa siku ni 1000, bhas ntarajie J4 napokea 4k
Rafiki anayenitakia mema...nipe elimibya hii kituSijawahi kufatilia subiri nilifanyie Kazi nifatilie account yangu.
Aisee kwa hiyo biashara gani tufanye ndugu kwa mtaji wa mil 10Watu wanataka utajiri kwenye hii mifuko aisee.
Kama unataka utajiri nenda kafanye biashara hizi mbanga hazikufanyi uwe tajiri kwa kuweka laki laki kila mwezi ila tu pesa yako inakua sehemu salama yenye risks ndogo sana.
Mtu ana 10M anaacha kwenda kuizungusha huko anaitumbukiza huku akitegemea awe anaendesha maisha kwa gawio analopata aisee hii ni akili mgando.