Hii mpaka uwe umemchagua atakayecontrol account yako baada ya wewe kuondoa katika uso wa dunia hii.Ndio inawezekana uchotakiwa inabidi uwe na login details za mtu huyo?
Fuata taratibu hizi
Settings>personal account and information>account ownership and control>deactivation and deletion>delete account
Baada ya kudelete account itakaa siku 60 ndipo itafutika Ila hakikisha ndani ya siku 60 hizo hau login kwenye hiyo account
View attachment 1998049
View attachment 1998054
Mkuu sina details zake ya account yani niseme tu sijui ata namba gani!? Alifu gulia si unajua watu wazimaNdio inawezekana uchotakiwa inabidi uwe na login details za mtu huyo?
Fuata taratibu hizi
Settings>personal account and information>account ownership and control>deactivation and deletion>delete account
Baada ya kudelete account itakaa siku 60 ndipo itafutika Ila hakikisha ndani ya siku 60 hizo hau login kwenye hiyo account
View attachment 1998049
View attachment 1998054
Duu mkuu account yake sina details zake kabisa,Ndio inawezekana uchotakiwa inabidi uwe na login details za mtu huyo?
Fuata taratibu hizi
Settings>personal account and information>account ownership and control>deactivation and deletion>delete account
Baada ya kudelete account itakaa siku 60 ndipo itafutika Ila hakikisha ndani ya siku 60 hizo hau login kwenye hiyo account
View attachment 1998049
View attachment 1998054
Sasa nje hapo ingekuwa rahisi hivyo si tungekuwa tunafutiana akaunti daily!!!Mkuu sina details zake ya account yani niseme tu sijui ata namba gani!? Alifu gulia si unajua watu wazima
Lazima uwe na details zake ilii uweze kufanikisha Jambo hiloo njia nyingine ni hacking Ila Kama hakuna ulazima kuvuta account hiyo achana nayo tuDuu mkuu account yake sina details zake kabisa,
Umeona eeh fb ingekua imechafukwaSasa nje hapo ingekuwa rahisi hivyo si tungekuwa tunafutiana akaunti daily!!!
Picha za mazishi?waambie Facebook help center kwamba amekufa, wakitaka uthibitisho watumie picha za mazishi kama unazo, labda watakubali🙄🙄🙄.
Fanya uireport then fb wataifuta wenyeweMkuu hii kitu nime cancel tu nikae kwa kutulia
Msaada mdogo na rahisi ni kuwa, kama shida ni wewe kuona picha zake na kuumia/kuwaza mbali basi mblock tu, hutoona tena hizo picha labda ukachungulie kwa Facebook ya mwingine.Habari waugwana wa humu, je salama!?
Ok. Sasa bwana mimi nina shida moja kuna account ya mtu wangu wa karibu alishafariki alikuwa na account Facebook na mpaka sasa nikiwa napita kuona baadhi ya vitu lazima nikutane nayo.
Je, naomba nataka niwaambie Facebook waifute nifanyeje msaada wenu