Shin Lim
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 7,837
- 14,198
Unaweza kusaidia kufutwa na fb wenyewe baada ya kufata hatua alizoeleza mdau hapo juu endapo tu kama marehemu hakuweka zuio la kufutwa akaunti yake pale akifariki. (wengi wetu huwa hatuseti kipengele hiki)
Kama aliweka legacy contact, ukifanikiwa kupeleka cheti cha kifo na hatua zote kushughulikiwa, utaambiwa tu marehemu alishachagua msimamizi wa account pale akifariki(ila hawatakutajia jina la huyo mtu kama tigo wanavyotaja) na zoezi lako litaishia hapo.
Na kama marehemu alitaka account yake isifutwe akifariki, facebook wataweka neno "remembering" mbele ya jina la marehemu badala ya kufuta kwa sababu wakitaka kufuta wataona marehemu alishaseti kwamba akaunti yake isifutwe akifariki.
Mchakato ni mgumu kama kuomba kazi na huwa unafanyika kwa siku kadhaa. Inabidi uwe na subira kidogo.
Ni heri uiache tu account kwa ukumbusho.