Msaada: Nawezaje kufuta account ya mtu ambaye alishafariki Facebook?

Unaweza kusaidia kufutwa na fb wenyewe baada ya kufata hatua alizoeleza mdau hapo juu endapo tu kama marehemu hakuweka zuio la kufutwa akaunti yake pale akifariki. (wengi wetu huwa hatuseti kipengele hiki)

Kama aliweka legacy contact, ukifanikiwa kupeleka cheti cha kifo na hatua zote kushughulikiwa, utaambiwa tu marehemu alishachagua msimamizi wa account pale akifariki(ila hawatakutajia jina la huyo mtu kama tigo wanavyotaja) na zoezi lako litaishia hapo.

Na kama marehemu alitaka account yake isifutwe akifariki, facebook wataweka neno "remembering" mbele ya jina la marehemu badala ya kufuta kwa sababu wakitaka kufuta wataona marehemu alishaseti kwamba akaunti yake isifutwe akifariki.

Mchakato ni mgumu kama kuomba kazi na huwa unafanyika kwa siku kadhaa. Inabidi uwe na subira kidogo.
Ni heri uiache tu account kwa ukumbusho.
 
Njia simple mblock or unfriendly hutomwona tena
 
i still keep my brother and Dad mobile numbers and i know they are of no use but i miss them badly that i hold every straw of memories about them!
 
Mkuu sina details zake ya account yani niseme tu sijui ata namba gani!? Alifu gulia si unajua watu wazima
Then watakutreat tu kama drug dealer.

Let it be, someday it will get archived.
 
Msaada mdogo na rahisi ni kuwa, kama shida ni wewe kuona picha zake na kuumia/kuwaza mbali basi mblock tu, hutoona tena hizo picha labda ukachungulie kwa Facebook ya mwingine.
Perfect reply
 
Njia rahisi ya kufuta fanya hivi kama wewe ni rafiki yake FB Mreport kwa picha zake kama mlichat messenger report kama then tafuta marafiki mmareport
 
Vizuri, hii ndiyo njia ya kufuta mpaka sasa inayo work.. Sema kwa hiyo case ya jamaa ni ngumu..
 
Njia rahisi ya kufuta fanya hivi kama wewe ni rafiki yake FB Mreport kwa picha zake kama mlichat messenger report kama then tafuta marafiki mmareport
Kwamba wa report marehemu ni SCAMMER eti [emoji23][emoji38]
 
mpige block mkuu hutamuona tena
 
Lakin wakuu kwenye setting kuna sehemu inasema Facebook wafanye nn ukifa ...ww select delete ma account
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…