Msaada: Nawezaje kujua kama ardhi yangu ina madini?

next question itakuwa ni hatua gani ntachukua kwa scenario hizi zifuatazo:
1.ikiwa eneo lina madini na linamilikiwa na mtu au kikundi-kwa maana ya lina allocation na wizara na
2. ikiwa eneo lina madini na halina mmiliki lakini linatambuliwa na wizara na
3. ikiwa eneo lina madini na halijulikani na wizara na
4. ikiwa eneo haliko kwenye geological map kwa hivyo haijulikani kama lina madini au la je nawezaje kupima kujua kama kuna madini
 

gwamahala...naomba uje huku unijibu kuna maswali nimekuongezea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…