Si rahisi kusema mimba imetoka kwa kuambiwa tu, labda ambayo umeona kiumbe.
Mambo ya uzazi ni kama sheria, kuna vigezo kufikia kusema hiki ni nini na au siyo nini. Ikiruka vigezo na mashartna masharti unajikuta kwingine.
1: Kujua umri wa mimba
2: Majibu ya ultrasound
3: Umri na hali ya ujauzito inaweza kuwa kigezo cha kusafisha au la.
NB: Fika kituo cha afya ili kufuata mtililiko ili kujua wapi unastahili kuwa kwenye hili.