Msaada jinsi ya kutoa matangazo uchwara kwenye simu yangu. Yaani nikiwasha data matangazo ya hovyo yanakuja mara 1Γ bet, yaani ya hovyo hovyo tu. π«π«π«
Angalia apps unazoinstall kwa simu yako , pia sites unazotembelea unaweza kujikuta umekaa zako unawaza Kodi ya nyumba inaingia notification a horny housewife is 2km away from you
Kwanza nikupe pole hizo zilinitesa mno hadi nikachukia simu na zilikula sana bundle
Kifupi hizo ni virus ambazo ziliingia kutoka na labda kupakua kitu chochote hasa wanavyoshare watu kwenye magroup
Pakua Ant virus kutoka play store Kila kitu kitakuwa solved hiyo AVG antivirus itamaliza tatizo