Msaada: Nawezaje kutoa matangazo uchwara kwenye simu yangu?

Msaada: Nawezaje kutoa matangazo uchwara kwenye simu yangu?

Rosemin

Member
Joined
May 21, 2023
Posts
70
Reaction score
532
Kwema,

Msaada jinsi ya kutoa matangazo uchwara kwenye simu yangu. Yaani nikiwasha data matangazo ya hovyo yanakuja mara 1× bet, yaani ya hovyo hovyo tu. 😫😫😫

Msaada please.
 
Kwanza nikupe pole hizo zilinitesa mno hadi nikachukia simu na zilikula sana bundle
Kifupi hizo ni virus ambazo ziliingia kutoka na labda kupakua kitu chochote hasa wanavyoshare watu kwenye magroup

Pakua Ant virus kutoka play store Kila kitu kitakuwa solved hiyo AVG antivirus itamaliza tatizo
Screenshot_20231105-160525.jpg
 
zima notifications za izo apps ambazo ukiwasha tu data zinakuletea hayo matangazo..

settings > apps and notifications > notifications..
Hata mm nilifanya hivi maaana matangazo yalikuwa lukuki
 
Unaigusa ile notification inaleta source
Afu ndo unazuia notification from that source

Anyway unatumia sim gani mkuu..!?
 
Force stop au disable apps ambazo hutumii, kuepusha usumbufu
Setting > Apps & Notifications then app usiyohitaji.
 
Back
Top Bottom