Msaada: Ndoa yangu imepata miba

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Jamani kama wewe unahisi una shidaa sikiliza redio za dini wapendwa utamkumbuka Mungu kila siku. kuna mdada ameomba ndoa yake ina shida saana sana akaulizwa why akasema mume ni dreva. Akapata bibi akawa akija anaacha chakula anaga siku inayofata.

Akashangaa sana hio hali mfululizoo, baddae akaanza kwenda maombi, mume ameaga safari yuko na bb sinza, akapigiwa na ofisi hapokei. Wakapiga kwa mwanamke akasema mbona ana siku 3 kaaga ameenda ssfari(iwekeuwewewe)

Kuna mapito jamani mwanaume kurudi akambiwa unahtajika ofisini, akaenda akakuta barua ya ahsante kwa kuwa nasi tunakutakia la kheri.

Kaka akarudi home, tangu sikuhio anawashwa mikono hatare hata gari ndogo awezi tena kuendesha so sad na kule kwa mjomba nako kumenock engine mazima, mwezi wapili sasa mdada analia anaomba msaada. Kama unahisi una shida sikiliza redio za dini usiku......

Mwamini Mungu unalopitia nalo litaishaaa sooon, mkabidhi Mungu shida zako, na sisi wanaume tubadilike wapendwa majibu hapa hapa dunian utaruka wee hawa wamama ndioo wameshikilia funguo za baraka zetu, wakilia kwa mola mda ukifika hutoamini.

Mungu atutie nguvu wanandoa wote
 
Kwahiyo huyo jamaa karogwa na mchepuko au!?
 
Hapaa nasikilizaa wimbooo
alililpaa deni langu...kwa gharamaa za mautiii msaa mahaaa wa dhambiii niliupata calvary ..alilipaaa.....
 
Chukua ushauri wa p Diddy 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…