Msaada: Ndugu yangu (22) kaanza ubabe kwangu (31), kisa karefuka na anabeba vyuma

Msaada: Ndugu yangu (22) kaanza ubabe kwangu (31), kisa karefuka na anabeba vyuma

Tulia hivyo hivyo mkuu umri namba tu.

Muwekee vikwazo vya kutokunywa maji
 
Kuna viheshima flani napewa eti kwa sababu mi mrefu😅😅😅😂😂

watu warefu oyee
 
Heshima pesa mjini.

tafuta hela sana utaonekana mrefu, utaonekana handsome, utaonekana unajua kila kitu.
 
Najaribu kufikiria nyuzi zitakazokuwa zinatumwa humu baada ya miaka 10 au 15 ijayo,maana dlili ya nyuzi zinazoonekana za sahivi ni kituko.
 
Baadhi ya wanyanyua vyuma huwa ni wajinga sana, na mimi miaka fulani kuna jamaa tulikuwa tunaishi nae, basi ikawa akitoka kunyanyua vyuma anaanza kutuchokoza bila sababu.

Nilimwambia piga gym kwa faida yako mwenyewe, na usiwe kero kwa watu wengine. Huu ugali na misosi mingine unayoipata hapa ya kutosha ungeendelea hivi utaanza kushindia uji tuone na mavyuma yako utafika wapi.
 
copy paste fb [emoji23][emoji23]

JE NICHUKUE UAMUZI UPI KAMA MTU MZIMA.

Ni mtoto wa ndugu yangu, mara ya mwisho kuonana nae ilikuwa kama miaka 7 iliyopita, kipindi hicho tulitokea kuwa na mazoea sana, kahamia mkoani kwangu huku kiukweli dogo kapanda hewani yupo kama futi 6 .3,,,mimi nipo 5.9

Sasa kahamia mkoa wangu huku anafanya shughuli zake, kwahio huwa tunakutana mara kwa mara.

Tatizo linakuja tukikutana huwa ni kama anatania flani hivi ila inakuwa style ya kuniona mimi mfupi kuzidi yeye so huwa ni kama analeta kaubabe flani hivi.

Jana nilikuwa sehem flani nimepumzika nimechoka baada ya kutoka kazini, nikashangaa mtu kanipiga vidole kwenye mbavu kama ule mchezo wa sekondari, niliamka na hasira sana, nikaona ni huyu dogo, sasa wakati nimefura akawa kama ananiangalia chini kudhiirisha urefu wake na misuli yake hio ya mazoezi, nilimuonya ila alibaki anacheka tu.

Nichukue uamizu gani
Jiue mkuu
 
Pole ila ukimchekea chekea siku atakushika tar core afu ikawa fedheha!!
 
copy paste fb 😂😂

JE NICHUKUE UAMUZI UPI KAMA MTU MZIMA.

Ni mtoto wa ndugu yangu, mara ya mwisho kuonana nae ilikuwa kama miaka 7 iliyopita, kipindi hicho tulitokea kuwa na mazoea sana, kahamia mkoani kwangu huku kiukweli dogo kapanda hewani yupo kama futi 6 .3,,,mimi nipo 5.9

Sasa kahamia mkoa wangu huku anafanya shughuli zake, kwahio huwa tunakutana mara kwa mara.

Tatizo linakuja tukikutana huwa ni kama anatania flani hivi ila inakuwa style ya kuniona mimi mfupi kuzidi yeye so huwa ni kama analeta kaubabe flani hivi.

Jana nilikuwa sehem flani nimepumzika nimechoka baada ya kutoka kazini, nikashangaa mtu kanipiga vidole kwenye mbavu kama ule mchezo wa sekondari, niliamka na hasira sana, nikaona ni huyu dogo, sasa wakati nimefura akawa kama ananiangalia chini kudhiirisha urefu wake na misuli yake hio ya mazoezi, nilimuonya ila alibaki anacheka tu.

Nichukue uamizu gani
Amekutekenya ukasetuka na ukamchekea tu sasa subiri dole la makalio ndio utajua huyo baunsa mwitu anachotaka kukufanya.

Sasa endelea kumchekea Kuna siku atakupiga kabali akukule mzigo halafu uje uchekecheke tena
 
Back
Top Bottom