Msaada: Ndugu yangu ambaye ni hakimu anataka kunitapeli mirathi

Mkuu nashukuru kwa maelezo yako,je huoni kwa vile huyu bwana ni hakimu kuwa na wasiwasi ndiyo akili?akiondolewa na kugundulika pasi na shaka je anaweza kushitakiwa maana ameshajichotea milioni kumi bila kumshieikisha nrithi maana yeye siyo mrithi?
 
Mkuu Petro E. Mselewa asante kwa elimu uliyoiweka hapa,nina amini itawasaidia wengi.

Majibu ya maswali yako
Ndio Mimi ndo mtoto wa marehemu , 2014 nilikua na miaka 22,kwaiyo baada msiba, Tuliakaa kikao cha família ,kikao hicho cha família ndio walimteua huyu hakimu awe ndio msimamizi wa mirathi kwa kigezo kwamba kwakua marehemu alikua mfanyakazi hapa dar na mafao yake afuatilie mtu aliopo dar na pia wakutuma kigezo kua huyu ni hakimu,anaijua sheria kwake zile process za kufuatilia mafao ya marehemu kwake itakua rahisi.

Kipindi icho mimi nilikua nasoma chuo mkoani.
Maamuzi ya kikao yaliandikwa ktk document na Majina,sahihi za tulioshiriki kikao.
hizo documents zote anazo huyu hakimu ndugu yangu.
Process zote za mirathi kwa upande wa mahakamani nadhani zilifanyiwa mahakama ya mwazo k/koo kwakua ktk kipindi hiki huyu hakimu alikua anafanya kazi hapo.

Naomba kujua Hatua za kufuatilia niweze kumshtaki huyu mtu,
 
Hatua ni kufungua shauri la kwenye jalada la Mirathi kuomba kumuondoa Msimamizi wa Mirathi. Akiondolewa anaweza kushtakiwa utakavyo na unavyotamani iwe.
 
Unapaswa utulize akili kulalamika APA hakutokusaidia. Kuna mama zako wakubwa na wadogo na mjomba ako kwanin wameshindwa kukusaidia. Hasira LA kulalama hovyo sio hoja. Sasa ukiendelea nasisi tututaweka wazi mapungufu uliyonayo mpaka haukupewa kua msimamizi wa mirathi yako. Mjomba wako hana tatizo na wewe wala Mali zako utakapojielewa hautolialia tena
 
Kwanza ungesema wewe ni Nani? wewe ndo B. M mwenyewe? au ndo kakutuma uje umsafishe?? mwambie safari ukweli wote nitauweka hapa kuanzia picha zote za bank statement,na picha za mikataba yote miwili wa kwanza ambao alisimamia yeye,ka sign yeye na Jina na mwandiko wake wazi. Alafu akatae kama haya ninayo Ongea ni uongo.
 
Naona mzee wa Mbeya City unamtetea ndugu yako...
Kama hana shida na Mali zangu asingekula hela na asingeendelea kunizungusha bila hata aKwelo

Sio muda picha yake na Jina nitaweka Hadharani
 
Hatua ni kufungua shauri la kwenye jalada la Mirathi kuomba kumuondoa Msimamizi wa Mirathi. Akiondolewa anaweza kushtakiwa utakavyo na unavyotamani iwe.
Mkuu naomba kujua Hatua za kufungua hilo jalada
 
Naona mzee wa Mbeya City unamtetea ndugu yako...
Kama hana shida na Mali zangu asingekula hela na asingeendelea kunizungusha bila hata aKwelo

Sio muda picha yake na Jina nitaweka Hadharani
Mimi sio wa mbeya city umenifananisha. Ila naomba sana urudi kwenye familia watakusaidia Microsoft huku utamumbua tu na kumchafua na kumwaribia. Tafadhali sana usitumie hasira ndugu yangu
 
Ebu ngoja kwanza nianze kusoma kwa umakini zaidi, maana haya mambo ya familia wakati mwingine huwa yana habari kuntu sana nyuma ya keyboards
 
Mimi sio wa mbeya city umenifananisha. Ila naomba sana urudi kwenye familia watakusaidia Microsoft huku utamumbua tu na kumchafua na kumwaribia. Tafadhali sana usitumie hasira ndugu yangu
Wakati ananikandamiza kula haki yangu wewe hukuwepo na Hujui ni shida ngap natapitia kwasababu yake .
Na hakuna kuchafuana,mimi nitaweka details zote hapa na wenye macho watapima kama Mimi namchafua mtu au mimi ni muhanga wa uonevu,wizi na ubabe.
Alipata wapi ruhusa ya kutumia mil.
10 bila mimi mwenye akaunti kujua na kuridhia??????
Huo ni wizi.
 
Ebu ngoja kwanza nianze kusoma kwa umakini zaidi, maana haya mambo ya familia wakati mwingine huwa yana habari kuntu sana nyuma ya keyboards

Huyu ndomyana hana jipya, nadhani ni B.M mwenyewe kaja kujisafisha maana hajajibu hoja hata moja.
Mimi Nipo tayari kumwaga mboga hapa Alafu aje aseme kama ushahidi nitakão uweka hapa ni feki????
 
Huyu ndomyana hana jipya, nadhani ni B.M mwenyewe kaja kujisafisha maana hajajibu hoja hata moja.
Mimi Nipo tayari kumwaga mboga hapa Alafu aje aseme kama ushahidi nitakão uweka hapa ni feki????
Sawa mkuu....
Nina maswali mbili hapa ambazo zipo nje ya mada tafadhali.....
Sina hakika kama kwako yatakua na maana sana, lakini kuna mambo ambayo yangependeza kama utatuweka sawa ili nasisi tujifunze kupitia wewe.

1. Mwaka 2014, wewe ulikua unasoma chuo mwaka wa ngapi na je ilikua unachukua Certificate/Diploma/Degree or Marsters?

2. Mwaka 2011 ulikua unasoma O-level/A-level or tayari ulikua umesha jiunga chuo?

Thanks,
Regards,
Ushimen.
 
Mimi sio wa mbeya city umenifananisha. Ila naomba sana urudi kwenye familia watakusaidia Microsoft huku utamumbua tu na kumchafua na kumwaribia. Tafadhali sana usitumie hasira ndugu yangu
Okay.....
Hapa naona picha ndio kwanza linaanza.
Anyway, ebu ngoja nikae kwa hapa karibu.
 
Dogo nikushauri kidogo

Acha kugombana na mjomba ako humu unaonyesha unataka kuonyeshana umwamba....ila kumbuka inaweza kukusababishia ukapoteza haki zako.

Cha kufanya.

Mosi nenda mkajadili na wanafamilia kama hukuwahi kupeleka malalamiko yako haya...fikisha kwenye kikao kilichomteua ona wanasemaje.

Kama familia haitaweza kusuluhisha

Nenda RITA mimi nitakusaidia watu wa rita wakuhudumie vizuri mpaka upate haki yako.

Kwenda mahakamani naona kama utapoteza haki kwakuwa huyu jamaa ni mwenzao...lkn pia kesi za madai sijui jinai...aahaa hata sioni jema kwako kwa hili wewe kushtaki.

Lastly be calm usiwe wa hasira.
 
Mkuu nasikitika siewezi kukujibu maswali yako, ninachO hitaji hapa ni pesa yangu
 
Ushauri mzuri kama ninaompa Mimi japo haupokei.

Dogo aludi kwenye familia atasaidiwa vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…