Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi mkuuu
Hapana, hajafa..yupo hai bado
Hapo katika red umenikumbusha mbali.
😀😀😛😡
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana leo n wkend tuko outToday uko mpweke eeh
Ooohhhh sawa , nikahisi maybe upo mpweke nikusimulie bedtime stories[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana leo n wkend tuko out
Hhaaaa hapana ...Eng. Anajua wajib wakeOoohhhh sawa , nikahisi maybe upo mpweke nikusimulie bedtime stories
Hiv unajua hata Iddi amin alikuwa nduli mwisho wa siku akawa "dada"?Sarakasi za huyu "nduli"
Mmhhh sawa hata ivo sisi tunakuaga wamwisho tuHhaaaa hapana ...Eng. Anajua wajib wake
Na wa mwisho huwa wa kwanza kutegemea uelekeoMmhhh sawa hata ivo sisi tunakuaga wamwisho tu
Safi sana kumbe unalijua hilo ,wamwisho anakuaga mshindi [emoji23]Na wa mwisho huwa wa kwanza kutegemea uelekeo
!Sawa mkuu....
Nina maswali mbili hapa ambazo zipo nje ya mada tafadhali.....
Sina hakika kama kwako yatakua na maana sana, lakini kuna mambo ambayo yangependeza kama utatuweka sawa ili nasisi tujifunze kupitia wewe.
1. Mwaka 2014, wewe ulikua unasoma chuo mwaka wa ngapi na je ilikua unachukua Certificate/Diploma/Degree or Marsters?
2. Mwaka 2011 ulikua unasoma O-level/A-level or tayari ulikua umesha jiunga chuo?
Thanks,
Regards,
Ushimen.
Jinga nalo hili wewe mwezako anataka mwanasheria wewe unampa mkimbiziLissu kiboko ya wanyonge