Ushauri mzuri kama ninaompa Mimi japo haupokei.
Dogo aludi kwenye familia atasaidiwa vizuri
Unapaswa utulize akili kulalamika APA hakutokusaidia. Kuna mama zako wakubwa na wadogo na mjomba ako kwanin wameshindwa kukusaidia. Hasira LA kulalama hovyo sio hoja.
Sasa ukiendelea nasisi tututaweka wazi mapungufu uliyonayo mpaka haukupewa kua msimamizi wa mirathi yako. Mjomba wako hana tatizo na wewe wala Mali zako utakapojielewa hautolialia tena
Huyu ndomyana hana jipya, nadhani ni B.M mwenyewe kaja kujisafisha maana hajajibu hoja hata moja.
Mimi Nipo tayari kumwaga mboga hapa Alafu aje aseme kama ushahidi nitakão uweka hapa ni feki????
Ndugu Micrisoft, ushauri uliopata hadi sasa unatosha, ni uamuzi wako kuchukua hatua unazoona zinafaa. Huna haja tena ya kuendelea kuanika mambo yako humu. Kwa ushauri wangu mimi wasiliana(inbox) na Mwanasheria Petro E. Mselewa na/ au Englishlady.
Nashukuru na nimenawa mikono na unafiki wangu. AsanteWewe ni mnafikii, mwanzo umekuja na vitisho bila kujibu hoja,na tayari ktk red hapo umeonyesha tayari wewe ni ndugu yangu na unamtetea huyo aliyekula hela kwa sababu unazozijua wewe.
Basi kuna kitu hakipo sawa aiseeeee.....Mkuu nasikitika siewezi kukujibu maswali yako, ninachO hitaji hapa ni pesa yangu
Basi kuna kitu hakipo sawa aiseeeee.....
Na kama unacho taka ni pesa yako, basi chukua....
Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
Mkuu kweli inawezakana ukawa na madai ya msingi lkn KIMDOMO CHAKO KITAKUPONZA USHINDWE KUPATA MSAADAhivi kweli unamwita [HASHTAG]#Ushimen[/HASHTAG] nyumba ndogo baba mdogo!?,Pambana na hali yako niache nipambané na huyu mwizi aliyevaa joho lá hakimu.
au kakutuma????au Ww nyumba ndogo yake ambae ulifaidi hela ya kumdhulumu mtoto aliyefiwa???
Kawaida mkuu, tunakufa mara 1 tuhahahaaa.
hayo mambo ya urithi na masuala ya mahakamani sitaki hata kuyasikia.nimedhulumiwa urithi wenye thamani si chini ya mil 200.
nimeamua kumuachia mungu ahukumu.
NDUGU SIO.
pambana.ila unatakiwa uwe na roho ya paka
usipotumiwa majambazi utarogwa.
Unapoomba msaada ya kupasa kuwa mpole na kusikiliza ushauri kisha uuupime na kuamua lipi bora.Pambana na hali yako niache nipambané na huyu mwizi aliyevaa joho lá hakimu.
au kakutuma????au Ww nyumba ndogo yake ambae ulifaidi hela ya kumdhulumu mtoto aliyefiwa???
Unapoomba msaada ya kupasa kuwa mpole na kusikiliza ushauri kisha uuupime na kuamua lipi bora.
Ila kwa hulka hii ya kutukana na kujibu hovyohovyo no wonder ndugu wamekuacha upambane peke ako.
Haki haitafutwi kwa jazba hivo dogo. Jazba itakufanya ukose msaada na kupoteza haki.
Mimi sio wa mbeya city umenifananisha. Ila naomba sana urudi kwenye familia watakusaidia Microsoft huku utamumbua tu na kumchafua na kumwaribia. Tafadhali sana usitumie hasira ndugu yangu
Asante kwa ushaurihatua ya mwanzo ni kutengua msimamizi wa mirathi na hoja kuu ni kufuja mali ya marehemu anaweza kuhonga au kutumia ushawishi mahakama za chini kama mahakama ya mwanzo au wilaya lakini kadri unavyopanda juu ndio utapata haki zako huna haja ya kuajili mwanasheria kwa mahakama ya mwanzo au wilaya baada ya hapo atatakiwa kulipa pesa zote alizofuja
Duh wa hakim wa ilala kandikiwa uzi mwez hauish leo kashavutaMroge, mchape Na radi apalalyse ndio atatia akili
Amroge na nini? Hamna uchawi ni story za kusadikika tu.Ukizipata ndio umroge?
Today uko mpweke eehDuh wa hakim wa ilala kandikiwa uzi mwez hauish leo kashavuta
Sasa huy asilogwe asijekufa na deni la.watu anapaswa kulipa