Microsoft
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 623
- 366
- Thread starter
- #41
Ushauri mzuri kama ninaompa Mimi japo haupokei.
Dogo aludi kwenye familia atasaidiwa vizuri
Wewe ni mnafikii, mwanzo umekuja na vitisho bila kujibu hoja,na tayari ktk red hapo umeonyesha tayari wewe ni ndugu yangu na unamtetea huyo aliyekula hela kwa sababu unazozijua wewe.
Unapaswa utulize akili kulalamika APA hakutokusaidia. Kuna mama zako wakubwa na wadogo na mjomba ako kwanin wameshindwa kukusaidia. Hasira LA kulalama hovyo sio hoja.
Sasa ukiendelea nasisi tututaweka wazi mapungufu uliyonayo mpaka haukupewa kua msimamizi wa mirathi yako. Mjomba wako hana tatizo na wewe wala Mali zako utakapojielewa hautolialia tena