Tanki
JF-Expert Member
- Apr 7, 2013
- 538
- 246
Ndugu zangu, kwasasa nipo nje ya ajira. Nahitaji kuchukua mafao yangu ya NSSF. Sasa, jina langu la kwenye account ya NSSF limetofautiana kidoogo na jina langu la kwenye kitambulisho Cha kupigia kura ambacho ndicho kitambulisho pekee nilichonacho.
Yaani Kwa mfano, kwenye NSSF jina ni ZIGONDWA ZIGO, then kitambulisho cha kupigia kura jina ZEGONDWA ZIGO. Hapo tofauti ni ZIgondwa na ZEgondwa. ( ZI na ZE ).
Kwa utofauti huu wa herufi Moja tu nimeambiwa na mtu kwamba sitaweza kuchukua mafao yangu. Je, ni kweli?
Je, ni nini nifanye Ili nipate mafao yangu??. Kuna mtu kaniambia sijui niende mahakamani kuapa. Yaani sielewi ndugu zanguni
UPDATES: Baada ya mizunguko miiingi ya kufuatiria utatuzi wa changamoto zangu hatimaye NSSF waliniingizia kijisenti changu. Kilichonisaidia kitu kinaitwa DEEDPOL