Msaada ndugu zangu. Anayejua hili kuhusu NSSF

Tanki

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2013
Posts
538
Reaction score
246
Ndugu zangu, kwasasa nipo nje ya ajira. Nahitaji kuchukua mafao yangu ya NSSF. Sasa, jina langu la kwenye account ya NSSF limetofautiana kidoogo na jina langu la kwenye kitambulisho Cha kupigia kura ambacho ndicho kitambulisho pekee nilichonacho.

Yaani Kwa mfano, kwenye NSSF jina ni ZIGONDWA ZIGO, then kitambulisho cha kupigia kura jina ZEGONDWA ZIGO. Hapo tofauti ni ZIgondwa na ZEgondwa. ( ZI na ZE ).

Kwa utofauti huu wa herufi Moja tu nimeambiwa na mtu kwamba sitaweza kuchukua mafao yangu. Je, ni kweli?

Je, ni nini nifanye Ili nipate mafao yangu??. Kuna mtu kaniambia sijui niende mahakamani kuapa. Yaani sielewi ndugu zanguni

UPDATES: Baada ya mizunguko miiingi ya kufuatiria utatuzi wa changamoto zangu hatimaye NSSF waliniingizia kijisenti changu. Kilichonisaidia kitu kinaitwa DEEDPOL
 
Umewezaje kuwa na kitambulisho cha mpiga kura bila ya kuwa na kitambulisho cha uraia!
 
Ndugu zangu, kwasasa nipo nje ya ajira. Nahitaji kuchukua mafao yangu ya NSSF. Sasa, jina langu la kwenye account ya NSSF limetofautiana kidoogo na jina langu la kwenye kitambulisho Cha kupigia kura ambacho ndicho kitambulisho pekee nilichonacho.

Yaani Kwa mfano, kwenye NSSF jina ni ZIGONDWA ZIGO, then kitambulisho cha kupigia kura jina ZEGONDWA ZIGO. Hapo tofauti ni ZIgondwa na ZEgondwa. ( ZI na ZE ).

Kwa utofauti huu wa herufi Moja tu nimeambiwa na mtu kwamba sitaweza kuchukua mafao yangu. Je, ni kweli?

Je, ni nini nifanye Ili nipate mafao yangu??. Kuna mtu kaniambia sijui niende mahakamani kuapa. Yaani sielewi ndugu zanguni
Nenda mahakamani watakuelekeza.
 
Nikishapa affidavit nini nifanye. Na hiyo affidavit ninini hasa na inaweza kunisaidiaje mkuu??? Msaada
Usiende mahakamani, nenda kwa wakili yeyote mueleze kama ulivyoandika hapa atakuandalia Deed Poll. Hiyo document utatakiwa kwenda kuisajili kwa msajili wa hati.

Kwa msajili kuna hela utalipia, 36,000/= nafikiri. Hapo utakuwa clear kabisa.
 
So, mkuu hiyo document baada ya kusajiliwa ndo inasimama kama ndo kitambulisho au ??? Niweke sawa mkuu
 
Hiyo document (deed poll) utaiambatanisha na documents zako nyingine ulizosema zinatofautiana majina.

Deed poll itatoa maelezo kuhusu hizo tofauti na itaeleza jina lako rasmi ni lipi. We nenda kwa wakili yote haya atakuelekeza vizuri zaidi.
 
Ndugu zangu, kwasasa nipo nje ya ajira. Nahitaji kuchukua mafao yangu ya NSSF. Sasa, jina langu la kwenye account ya NSSF limetofautiana kidoogo na jina langu la kwenye kitambulisho Cha kupigia kura ambacho ndicho kitambulisho pekee nilichonacho.

Yaani Kwa mfano, kwenye NSSF jina ni ZIGONDWA ZIGO, then kitambulisho cha kupigia kura jina ZEGONDWA ZIGO. Hapo tofauti ni ZIgondwa na ZEgondwa. ( ZI na ZE ).

Kwa utofauti huu wa herufi Moja tu nimeambiwa na mtu kwamba sitaweza kuchukua mafao yangu. Je, ni kweli?

Je, ni nini nifanye Ili nipate mafao yangu??. Kuna mtu kaniambia sijui niende mahakamani kuapa. Yaani sielewi ndugu zanguni
nenda nida utaandika jina lako kikamilifu then utatumia nida kuchkua kibunda
 
K
Ndugu zangu, kwasasa nipo nje ya ajira. Nahitaji kuchukua mafao yangu ya NSSF. Sasa, jina langu la kwenye account ya NSSF limetofautiana kidoogo na jina langu la kwenye kitambulisho Cha kupigia kura ambacho ndicho kitambulisho pekee nilichonacho.

Yaani Kwa mfano, kwenye NSSF jina ni ZIGONDWA ZIGO, then kitambulisho cha kupigia kura jina ZEGONDWA ZIGO. Hapo tofauti ni ZIgondwa na ZEgondwa. ( ZI na ZE ).

Kwa utofauti huu wa herufi Moja tu nimeambiwa na mtu kwamba sitaweza kuchukua mafao yangu. Je, ni kweli?

Je, ni nini nifanye Ili nipate mafao yangu??. Kuna mtu kaniambia sijui niende mahakamani kuapa. Yaani sielewi ndugu zanguni

UPDATES: Baada ya mizunguko miiingi ya kufuatiria utatuzi wa changamoto zangu hatimaye NSSF waliniingizia kijisenti changu. Kilichonisaidia kitu kinaitwa DEEDPOL
ingekuwa vyema kama ungeenda kuwaona NSSF kama vile hujuwi tatizo la kitambulisho chako then kama hilo tatizo wataliibuwa fuata ushauri wa mkuu Orketeem wa kutafuata kitambulisho kipya.
 
Back
Top Bottom