Msaada ndugu zangu, baba hanitaki kwake kisa naipenda CCM

Kwanza nimpongeze baba yako kwa kujitambua maana kuwa ccm huku unaishi kwake ni kuleta laana kwenye nyumba yake afu alitakiwa aku Amber ruthy kabla ya kukufukuza ww huoni sera mbovu za ccm ndio zimesababisha ukose ajira
 
We umeshafail maisha yani kwa umri huo bado upo home tena ukiwa na akili za ki ccm. Endelea tu kula ugali wa baba yako huku ukisubiri kupata zali kama la babu wa loliondo maana akili zilizokufikisha hapo ulipo haziwezi kukutoa hapo labda ubadilike.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu ukitaka kujimwambafy tafuta mji wako .kwa kawaida nyumba(familia) inakua na mwanaume (dume ) mmoja tu wake na watoto sasa wewe sidhani kama bado upo kwenye kundi la watoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baba anajuta 31 yupo nyumbani. Ada alilipiwa na Mama yake. Mkuu vipi pitia abdiko nujta kwa nukta ongeza na umri wa mleta mada utagundua ni mtoto wa Mama from BAVCHAA.
Mkuu, Bavicha inakujaje hapa ?, hiyo kijana si amekwambia yeye ni ccm na ndio maana babake anataka kumtoa roho kwa koleo ?!, huyu kijana amechanganyikiwa, hajui haya matatizo yakiwemo ya kwake yamesababishwa na li ccm, babayake yuko sahihi kwa sbabu ameona mengi kuliko huyo dogo, huu uzi angeupeleka kwenye corridor za Lumumba, kwani wao ndio waliomtoa akili.
 
Kwani Bavicha ndio BAVCHAA?
 
Ningekuwa mimi Baba yako ningeondoa kwanza hilo godoro unalolalia nakuliweka stoo kwa ajili ya wageni, halafu ningekuondoa kwenye orodha ya watoto wanaotakiwa kula chakula hapo nyumbani, ili kula ugali wa mzee wako halafu unaleta mambo ya kijinga eti ccm, babako nae amezidi upole, alikukosaje na hilo koleo ?!, hiyo degree yako !!
 
Msiba mkubwa kwa Taifa, miaka 31 bado unaishi kwa wazee. Halafu uataka upende unachotaka wewena sio wanachopenda wazazi wako? Basi nenda kamuone Bashite kama uko Dar, sihasha ukaunganishwa na kundi la watu wasiojulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…