Msaada ndugu zangu, baba hanitaki kwake kisa naipenda CCM

Mtu mzima na digri yako unalia lia?????!!!! Ni Rutengwe wa 2? Nenda Lumumba wakupe hifadhi,si unawapenda!
 
Baba anajuta 31 yupo nyumbani. Ada alilipiwa na Mama yake. Mkuu vipi pitia abdiko nujta kwa nukta ongeza na umri wa mleta mada utagundua ni mtoto wa Mama from BAVCHAA.
Wewe naye sawa na huyo mtoto kichaa wa Lumumba, wote ondokeni humu JF of GT mnatubana bure, Lumumba ndiko sehemu sahihi kwa nyie. Mwenzako amesema yeye ni mwanaccm wewe na ujinga wako unasema ni Bavchaa!
 

Wewe ni jinga na ndio maana una miaka 30 umekalisha makende yako hapo nyumbani,utaolewa muda si mrefu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Baba yako ana akili sana.
 
Hata humu jf inabidi wakupige ban, baba yako pia ana huruma sana, yani nizae litoto afu lije kusema ishu za fisiemu???? Akyanani nalifukuza mazima katika familia yangu na ninanyoa kabisa na nywele kuweka msisitizo. Fisiemu ni laana katika nchi yetu pendwa Tanganyika. 31 years + degree hujui pa kwenda?? Umewakilisha vyema akili za fisiemu(ccm).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23] humu ulipokimbilia napo sipo bado kuna roho za watu wapo Kama baba yako na kwa huo umri haha! Subiri waje utajuta..
Yaani hata mm nikikutananae nampa za uso hao ndio wanaolisababishia taifa hili matatizo kwa kuipa jeuri CCM...mwambie aenda Lumumba pale atamkuta Mr. Slow slow atamsaidia ila huku amekuja siko mwendawazimu huyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan ninaomba unitumie namba za baba yako nitamuingizia mpunga wa kula week end kwa namna nitavo weza amenikosha balaa, hiv mtu anayeshabikia ccm unafikiria akipata mda anakuua kwan yeyote anayeshabikia chama hicho anaweza kua shetani mzur tu hivo ding anaakir balaa. Em jiulize haya

Chama unachoshangilia unamiaka 31 upo kwenu, huna ajira siasa zote na mikakati sion namna ya kukuinua alagu unajifanya kindakindaki [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] yaan mzee nimempa heko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli ishi uyaone mengi. Mtu huna kazi, umemaliza vyuo vyote, umesomeshwa na babako. Halafu bado hujaona machungu ya hiyo sirikali, unaendelea kuishabikia. We kweli hamnazo wa uhakika kabisa. Ningelikuwa babako ningemfugia mbwa humo chumbani kwako hata abweke tu.
Nenda lumumba watakupokea fasta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…