THE BEEKEEPER
JF-Expert Member
- Feb 23, 2024
- 1,547
- 7,531
Kwakwel tunako elekea n htr 😂😂😂Nguo za ndani ndio ulete mada JF
HeheheHabari
Nimetoka chuo mda huu nimefika geto, nina kawaida ya kwenda kuoga kwanza. Nimetoka kuoga naona Nguo zangu za ndani zote hazipo nampigia demu simu kaniblock nipo confusion msaada
sio mbaya anataka akufanye wa kwake pekee akeHabari
Nimetoka chuo mda huu nimefika geto, nina kawaida ya kwenda kuoga kwanza. Nimetoka kuoga naona Nguo zangu za ndani zote hazipo nampigia demu simu kaniblock nipo confusion msaada
Hapa uchawi umeingiajeHivi mnapataje wenzi wachawi?
Subiri dawa ikuingieHapa uchawi umeingiaje