Mtu anayetanguliza mawazo ya kichawi kwa kila jambo ni hatari sana hata ukijikwaa utawaza urogi, ukute mwenzie kachukua akazifue wewe unawaza uchawiSubiri dawa ikuingie
Okay,ngoja akazifue mkuuMtu anayetanguliza mawazo ya kichawi kwa kila jambo ni hatari sana hata ukijikwaa utawaza urogi, ukute mwenzie kachukua akazifue wewe unawaza uchawi
Kama kuroga si anachukua hata moja tu kwani wanarogea nguo nyingi kaenda kuroga hadi ukoo au?Okay,ngoja akazifue mkuu
Kumbe wanarogea moja,mi nilikuwa sijui mkuuKama kuroga si anachukua hata moja tu kwani wanarogea nguo nyingi kaenda kuroga hadi ukoo au?
Achana na moja, kiuzi tu cha nguoKumbe wanarogea moja,mi nilikuwa sijui mkuu
Hii nayo ya mwaka!Habari
Nimetoka chuo mda huu nimefika geto, nina kawaida ya kwenda kuoga kwanza. Nimetoka kuoga naona Nguo zangu za ndani zote hazipo nampigia demu simu kaniblock nipo confusion msaada
huenda anaelekea Sumbawanga huyo,Habari
Nimetoka chuo mda huu nimefika geto, nina kawaida ya kwenda kuoga kwanza. Nimetoka kuoga naona Nguo zangu za ndani zote hazipo nampigia demu simu kaniblock nipo confusion msaada
