Outsiders
Member
- Apr 22, 2024
- 26
- 35
Brother unamatatzo ya afya ya akili,, mke hana kosa, hayo mazingira umeyazoea wewe yeye hilo alikua hajui maana kwanza sio hali ya kawaida mtoto wa kiume aliyepevuka vzurii kua na tabia kama yako,,, hicho kiatu kigeuze ukivae wewe kama kingekutosha yani ukaribu huo angekua nao mkeo kwa baba yake,, ungeupokea vip ??