Msaada ndugu zangu, ndoa yangu inaenda kudidimia

Sijamaliza kuusoma uzi wote ila mi naona bora tu mke wako akuache ubaki na mama yako
 
Wewe na Mama yako ni Pipa na Mfuniko,

Nampa pole huyo mkeo,tena asirudi tena,aliolewa na kiumbe cha ajabu sana.
 
sisi wote tuna mama, ila tulipooa mama mwenyewe alikaa mbali nasi. anachokiwaza kipo duniani, kuna jamaa mmoja mama yake hadi alikuwa na wivu, chumbani kwao anaingia apendavyo, na pale ndani yeye ndiye mwenye say wakati mke yupo. ni ujinga mkubwa sana. inawezekana kweli unatembea na mazaako, mkeo kukutungia jambo hili sio rahisi, labda kaona mazingira ya ajabu yanayoashiria mambo ya aina hiyo. au mamako havai nguo za kujisitiri, mamako hajiheshimu kwenye mikao, hana mipaka kwako, hana mipaka chumbani kwako, na watu wazima kujua fulani anatembea na fulani kama mpo pamoja huwa haijifichi,
 
.
 

Attachments

  • 71A94035-E8EF-43E8-A6DF-838F49FB7D59.gif
    1.5 MB · Views: 32
Nyumba zina mambo hizi, mimi ndo maana nawaheshimu sana wanawake, mtu ana kwao na wazazi wake, na mazingira yake, anaacha vyote anaenda asikojua, mazingira mapya, watu wapya, mambo mapya, hii ni kuchukua uamuzi mgumu wa liwalo na liwe na hayo yote ni kwa sababu ya mapenzi kwa mumewe, wengine huenda kukutana na ulozi, ujambazi, Mila za ajabu, malezi ya hovyo, na wengine hata kutolewa kafara za damu, moja ya mambo ya ajabu wanayokutana nayo wanandoa wa kike ni hiki kisa cha mtoa mada wa leo, Mwenyezi Mungu wabariki wake zetu wote, amina.
 
Aiseeeeeee mental health is real. Wee jamaa chizi sana
 
Kuna kitu hakipo Sawa Kwa mama yako, nipe namba Yake pm nimshauri, ana umri gani?
 
Mmmmh mama ako mzazi kabisa umuonyeshe aibu yako(tupu) kweli ndg yangu, mbona haiingii akilini mkuu
 
Chai nyingine hata hazinogi. Unadanganya waziwazi mpaka mtoto wa miaka 2 anajua umedanganya.
 
Khatari sana, wazungu wanaita ni infatuation, ndoto za matamanio ya ajabu

A crush or infatuation generally refers to short-term romantic feelings that may center around the desire for a physical relationship. In many cases, infatuation with a person can mean that the idea of the person is more appealing to you than who they truly are
 
Wanawake wengi hawapendi wakwe zao ila kwa hili nami naungana na huyo mkeo kumuona mama yako ni mtihani. Mtoto wa miaka mitatu tu wakiume huanza kuchukia kuonwa maumbili yake na mama mzazi, tena utasikia mama funga macho nivae nguo au nivue, Sasa wewe kijana kukaa mbele ya mama daaa sijui hata nisemeje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…