Msaada ndugu zangu, ndoa yangu inaenda kudidimia

acheni kuchangia hii chai,

cocastic ukuje uone kaka zako, dada zako na wadogo zako wanavookotwa huku.
 
Mke wako ana akili sana, wewe ni mjinga, hivi umesoma ulichoandika? You are not a man enough kwa hiyo ulifanya makosa kuoa, mommy's boy, mxeeew

Evelyn Salt hebu njoo, kuna mtu amenichefua hapa
 

Nimekumbuka uzi huu, kwanini wazee wetu saa nyingine wanakuwa mbali na wake zao :

 
Wewe ndo tatizo, hata kama hauna chochote na mama, lakini hizo tabia hazifai hakika, BADILIKA, la sivyo utakuwa unakimbiwa na wanawake Kila siku
 
Na yeye siku ukimkuta yuko uchi ma baba yake chumbani utaona sawa?
Mimi naona wewe na mama yako mmelaaniwa.
Mke ana halali kuondoka familia hiyo ni laana.
 
Pole sana. Mimi nakuelewa vizuri sana. Achana na wanao kudharau. Mnahitaji msaada wa wana saikolojia. Hicho kitu kipo tena wengine hukaa na wazazi wao wa kike mpaka kunyonya. Ni hali huwa inatokea. Mkeo anatakiwa aelewe na uzuri ulimjulisha. Kikubwa shikilia kile ambacho kina kupa amani.
 
Na wewe hua unafanya hivyo na Bi mkubwa wako?
 
Were ulitakiwa utekwe then wakukule huku ukisema "Ahsante mama"
 
Andiko lote hilo huoni hata aibu huna wote humu tumezaliwa mama ila hayo mengine niajabu
 
Hey u nigga, WTF u talkin about? 🤔
Wew na huyo mama yako ni malimbukeni, wehu na wendawazimu mbwa nyinyi.

Kwanza; kitendo cha mama yako kuishi na wewe bila sababu za msingi wakati ana mji na mume wake ni uwendawazimu uliopindukia.

Pili; kitendo cha mama yako kuona sehemu zako za siri ni ujinga na wehu uliopitiliza kwenu nyote wawili.

Tatu; huwa nasoma humu nyuzi za kiwaki na kiduanzi lkn uzi huu ni wa kiwaki na kiduanzi Pro Max.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…