Msaada ndugu zangu, ndoa yangu inaenda kudidimia

Nimekosa cha kuchangia!! Maisha yanawapeleka puta waja, khaaaah
Nini hiki sasa? LOL
 
nilipoishia panatosha siwezi malizia....kitu naweza ambia wewe muandishi ni MQUNDU WAQO KAMA MDOMO WA SLOW SLOW AKIWA ZAKE KYUBAπŸ™‚
 
Hii ni chai mchana kweupeee

Kma ni kweli basi ww ni mtoto bado hujakua
 
Drat double drat!!
 
Mnavyohangaika kuchangia as if kama ni kweli vile hivi nyie hamuoni kwamba hii ni chai? Nimeitoa Facebook huko
 
Kwa jinsi nilivyozoea na Mama yangu sina siri naye, tangu nikiwa mdogo naweza kuvua nguo mbele ya mama yangu, naweza kuoga nikatoka bafuni narudi chumbani namkuta amelala kitandani kwangu basi navua nguo uchi kabisa naniona.
Bro hiki nini unaandika hapa?
 
Ww ndo mwenye matatizo na Mama yako umepata mke Bora sana ila Huna akili
 
Na mama na mama ananiangalia fungus sehemu za siri na mama puuuuu, wewe na mama yako wote mafala
 
Je mkeo akiwa na ukaribu na baba yake kama huo wa wewe na Mama Yako utaona sawa? Mpe talaka yake akatafte Mume wewe Baki na Mama Yako
 
Mkuu wewe na mama ako mna shida mahala kwenye bongo zenu. Hiyo namna mnayo ishi sio mila zetu na sio desturi zetu. Mkeo ana haki ya kuondoka.
Swali je mkeo angekuwa ana vua nguo mbele ya baba ake mzazi, unge chukuliaje wewe?
 
Ukisikia uchawi ndio huu sasa...wanga nyie....wewe na mama yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…