Msaada ndugu zangu, ndoa yangu inaenda kudidimia

Kama sio chai kuwa na pilipili, basi huna akili na haujitambui
 
Hivi wewe unataka kutuona huku JF wote tuna akili takataka kama zenu nyie na Lukas mwashamba , embu kuwa na akili hata kidogo
 
Hata kama ni uzungu but this is too much
Hata hao wazungu hawana huu upumbavu.
Tena jamii kubwa ya hao wazungu mtu akishao ndio basi anaenda kwake wazazi hawana time naye .
Hata kutembelewa watataka watembelewe na wajukuu tu.
Huyu mletq story ni mpuuzi na lijistory lake la kujitungia
 
Kama ni kweli ulichoandika unapiga mama yako na mama yako ni mmoja ya mama wa hovyo kuwahi kutokea duniani.
 
Wewe na mama yako wote mnamapepo, mnakoelekea mnaenda kupigana mashine, ndo maana baba yenu kakimbia - kuna laana aliona,
 
UNA
LAANA SIKU NYINGI WEWE
 
Hii kali yaani kila kitu unamwambia Bi Mkubwa, hata unapopiga punyeto pia? Kwa kweli hakuna mwanamke atakayekuvumilia kwa hili, pole lakini.
 
Basi mimi nikatoka hivyo hivyo nikiwa uchi nikajifuta na kupaka mafuta mbele ya mama na mke wangu kabla sijamaliza mke wangu alitoka huku akilia.
Kama ni story ya kutunga, just know unamkosea sana mama yako.
Nayeye akiwa nafungus Kwenye kipochi manyoya huwa unakuonesha na kumkagua?
Hata mimi niliwaza hivi hivi. Kama mama yupo tayari kuona dushe la jamaa ya 33 years basi na yeye kuna namna humuonyesha. Hapo mwanamke hana chake
 
Je katka hadithi hii neno mama limetajwa mara ngapi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…