Msaada ndugu zangu, ndoa yangu inaenda kudidimia

Kabla ya kumjaji mkeo anza na ndugu zako hao, hujiulizi mbona wao hawafanyi ivo? Babako kukuacha ulelewe na mama km huyo pekeake alikosea ila wewe ukimuacha uyo mtoto wako alelewe na mamake tu au na mwanaume mwingine utakuwa umemsaidia mtt na jamii yote kwa ujumla.
 
Mhhh noma
 
Tunaipa kazi sana serikali
 
Kwa jinsi nilivyozoea na Mama yangu sina siri naye, tangu nikiwa mdogo naweza kuvua nguo mbele ya mama yangu, naweza kuoga nikatoka bafuni narudi chumbani namkuta amelala kitandani kwangu basi navua nguo uchi kabisa naniona.
Hapa ndipo kwenye tatizo.
 
Yule jamaa mwenye story ya Arsis aje uku ndio michezo yake hii
 
Nadhani kuna tatizo mahali. vipi kama mkeo naye angekuwa na ukaribu huohuo na baba yake mzazi ungefikiriaje?
Swali zuri sana, huyo jamaa haoni hata aibu kuomba ushairi kwenye jambo analolibomoa mwenyewe? Keshakuwa mtu mzima, ana mke anavaa nguo chumbani kwake mbele ya mama yake mzazi? Naye mama ni pimbi wahead, anashindwaje kuiheshimu ndoa ya mwanae, kutwa kiguu na njia kwa mwanae na kushinda chimbani kwa mkwe wake?
Sijawahi ona jambo kama hili wallah....
 
🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩
 
Mke anamakosa madogo sana ila wewe pia sio mtu mzuri
Moja unavunja ndoa ya mtu kwa kuishi na mke wa mtu nyumbani kwako sio poa mama ni mzazi ila mume wake yupo changamoto zao sio zako hata kama unampemda kiasi gani lakini lazma uamue kuwa na familia yako
Na kwa akili hizo pia naamini umempa umuhimu sana mama kuliko mke, kabla hujaoa au kuolewa mzazi anakuwa ndo kila kitu ila unapooa kila kitu kwako anakuwa mumeo au mkeo

Leo mama yako wazazi wake sio kila kitu wala baba yako wazazi wake sio kila kitu
Ukibadili mtizamo unaweza ponya ndoa yako

Wamama wengi jau sana katika ndoa za watoto zao
 
Sikusoma hadi mwisho laaaaaaaa kama anakukagua mpaka kende

Mkeo alipaswa kukupa sumu we na mama yako
Amekuhurumia sana kuondika hivihivi

Pumbavu kabisa wewe
 
Ni chai ila mfano ingekua kweli ningesema hapa kuna dad's issues na separation ndiyo changamoto ila jinsi ya kukusaidia itabidi usubiri nipate leseni ya clinical psychology
 
hivyo hataki tena hii ndoa, ananidai sana talaka na hataki kuwa na mimi.

Mpatie talaka Binti wa watu. Huenda akapata Mwanaume timamu akaolewa Tena.
Wewe endelea kuishi na huyo Mama yako kipenzi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…