Msaada: Ni mambo gani ya kuzingatia ukiwa M.C wa hafla mbalimbali?

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
16,207
Reaction score
14,343
Wadau naomba kujulishwa hii biashara!

Mwaka jana mwishoni nilipata wasaa wa kukutana na M.C mmoja wa maeneo ya Temeke akasema kwamba nina sauti yenye ujazo inayoweza kunipatia mpaka million moja kwa weekend moja, pia muonekano you know
Kwamba inafaa sana kwenye shughuli mbalimbali.

Sio M.C wa HipHop MO11, hapana, ni wa sherehe; Msema Chochote a.k.a MC!

Sasa kuna sherehe kama mbili hivi ndogo ndogo moja ni tarehe 20 nita Co-host nae aniangalie, lakini pia iwe moja ya mafunzo.

Kiukweli, Sikuwahi kuwa na interest na hii shughuli na hata birthday party sijawahi kuwa MC. Please naomba ABC kwa makabila mbalimbali yapi ya kusema mbinu za kufanya uwe best MC, ili nitengeneze Mia mbili Mia tatu!

Makabila kama ya washana mshana jr mpwa naomba msaada wako, bwana utafiti najua umepitia mengi hapa nitapata ABC, le big boss The Boss, Shyland nambie sherehe za Kisukuma nisije nika uponda udaga maana nimezoea nyama ikawa tatizo.

Please bwana Pasco najua uko busy ila mchango wako ni muhimu na wote wote please msaada tutani.
 
...karibu kwenye dili zenye kuingiza mshiko bila jasho.

...tafuta clips za MC's youtube uone namna wanvyoendesha shughuli.

...jaribu kucheck clips za watu kama MC Luvanda hivi.

...kuwa na maneno ya heshima, zingatia ratiba, chekesha watu inapobidi, jua tamaduni za uwaongozao, kuwa na DJ mnayejuana etc
 
unatakiwa ujue mambo mengi
hata baadhi ya lugha za asili yale maneno yao wanayoyatumia hasa
usiwe kauzu sana wala mcheshi sana utaboa

maana yake aibu usiwe nayo
 
...karibu kwenye dili zenye kuingiza mshiko bila jasho.

...tafuta clips za MC's youtube uone namna wanvyoendesha shughuli.

...jaribu kucheck cllips za watu kama MC Luvanda hivi.

asante sana mkuu Watu8 nomba jina lingine la mc mzuri in bongo land mwenye clip you tube
asante sana.
 
Last edited by a moderator:

Hapo ndo pa muhimu sana sasa namna ya kujua makabila mbalimbali what they and what to do kupata japo nayajua machache kwa kuudhuria sherehe na hafla mbalimbali ila still nahitaji kujua sana
 
...karibu kwenye dili zenye kuingiza mshiko bila jasho.

...tafuta clips za MC's youtube uone namna wanvyoendesha shughuli.

...jaribu kucheck cllips za watu kama MC Luvanda hivi.

...kuwa na maneno ya heshima, zingatia ratiba, chekesha watu inapobidi, jua tamaduni za uwaongozao, kuwa na DJ mnayejuana etc

fafanua kidogo mkuu hapo kwenye kuwa na Dj mnaejuana
 
Katika sherehe hizi za harusi na send off huwa zina mtiririko unao oana na kile ambacho DJ huwa nacho katika playlist yake...

Mathalani, MC akiwaita wakwe wa Musoma waje mbele kupokea zawadi, moja kwa moja DJ atapiga kitu cha "ndolela...."

Yaani MC na DJ wanafanya kazi kama mapacha vile...
 
nimekuelewa lazima kutengeneza chemistry ya hali ya juu okey ni vyema kukutana na Dj na kuitengeneza ila taayari ukiwa expert utakapokwenda unakua na dj wako ukiitwa unakua nae
nimekuelewa thanx sana
 
asante sana mkuu Watu8 nomba jina lingine la mc mzuri in bongo land mwenye clip you tube
asante sana.

MC's wengine wazuri kama kina Ntoke Babu n.k hawana clips youtube...

Luvanda najua kuna clips zake nyingi tu huko na ni rahisi kujifunza kutoka kwa huyo jamaa kwa kuwa yupo simple na smart, hana longolongo kama zile za kina MC Pilipili...
 
Last edited by a moderator:
Honestly hiyo kazi naona ngumu sana
binafsi naona unapaswa kuwa na talent nayo au uwe kauzu vya kutosha
but jaribu uone
huwezi jua kama una talent or not kama hutajaribu...

nafikiri unapaswa kujua wewe mwenyewe vitu gani vinakuboa ukienda kwenye sherrehe ili usivifanye
 
Ukitaka kupiga hela ndefu na kukua haraka tafuta DJ ikiwezekana hata uwe pamoja na watu wa video japo kuwa wa video sio lazima unaweza ukawa na contacts zao tu ila ni vizuri uwe na DJ unaemjua mkuu.Muwe mnafanya kazi pamoja katika sherehe mbali mbali,msisahau kuwa na malengo kuna watu wanandaa ratiba zilizochapwa vizuri pamoja na picha na video kila kitu nakwambia utapiga kazi mpaka utaboreka utaamua ufanye kitu kingine kaka.
 
pili kuwa na identity yako usiwaige kila kitu hao wa yuo tube bnali wakube muongozo
identity inaweza kuwa mavazi kuna mmoja anaitwa papaa,anavaa suruali ina mikanda mitatu na kiatu kama cha abunuwasi,kuwa na kachombezo kako,kuwa comic,kata mshipa wa aibu,lazima ujue muziki mc wa shughuli ni kama mtayarishaji wa kipindi wewe na dj wako lazima mjue hit songs wakati wa kuandaa play list,know your customer ,jina lake,dini,kabila ,etc,be honest usiwe na tamaa ukisha chukua kazi ya mtu akitokea mwingine akapanda bei mwambie sorry its too late niko booked kwa ufupi usiwe na tamaa
 
sawa mkuuu umetoa kitu cha muhimu sana
hapo kwenye mziki hasa nyimbo za asili na za makabila
identinty...mkuuu kuhusu identity hapo pia ni la msingi pia kuwa wa kipekee

asante kwa vionjo hivyo muhimu
 
Ukitaka kupiga hela ndefu na kukua haraka tafuta DJ ikiwezekana hata uwe pamoja na watu wa video japo kuwa wa video sio lazima unaweza ukawa na contacts zao tu ila ni vizuri uwe na DJ unaemjua mkuu.Muwe mnafanya kazi pamoja katika sherehe mbali mbali,msisahau kuwa na malengo kuna watu wanandaa ratiba zilizochapwa vizuri pamoja na picha na video kila kitu nakwambia utapiga kazi mpaka utaboreka utaamua ufanye kitu kingine kaka.

mkuuuu asante sana pia kuna mkuu hapo juuu aliniambia for the time nipo chini ya mtu nikishapata ujuzi nitaaanza kujitegemea
 
Honestly hiyo kazi naona ngumu sana
binafsi naona unapaswa kuwa na talent nayo au uwe kauzu vya kutosha
but jaribu uone
huwezi jua kama una talent or not kama hutajaribu...

nafikiri unapaswa kujua wewe mwenyewe vitu gani vinakuboa ukienda kwenye sherrehe ili usivifanye

asante big Boss nitazingatia hilo

ilankumbuka kuna vitu vinakuboa ila vinawafurahisha wengi so hili pia ni la kuangalia
kea mfano sipendi M.C aongeleee sana historia ya mwenza kama ni harusi lakini unakuta watu hupenda na kufurahia so lazima udokezee swala hilo
 
MC's wengine wazuri kama kina Ntoke Babu n.k hawana clips youtube...

Luvanda najua kuna clips zake nyingi tu huko na ni rahisi kujifunza kutoka kwa huyo jamaa kwa kuwa yupo simple na smart, hana longolongo kama zile za kina MC Pilipili...

asante hinafsi sivutiwi na mc pilipili japo kuna la kujifunza kwake ili usiboee watu kwa kuyaacha ayafanyayo

shukrani.
 
masai dada

Uwe Mwongo, Mfitini, Mzandiki, Mpenda Kula Vya Dezo Mnusaji Wa Matukio, Mzururaji Lakini Kubwa Kabisa Uwe Bonge La TAPELI Na Muazima Nguo ( Viwalo ) Maarufu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom