Msaada: Ni mara ya pili nataka kujidhuru

Msaada: Ni mara ya pili nataka kujidhuru

Hold on

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2023
Posts
482
Reaction score
1,126
Hi,

Kiukweli nina mawazo sana, sana, leo nimenusurika kugongwa na gari mara mbili. Mara ya kwaza ilikuwa pale Mbuyuni, mara ya pili Morocco. Binafsi sioni umuhimu wa mimi kuishi, nawonea wivu wale waliotangulia mbele za haki, mapambano yamekuwa magumu sana, peke yangu siwezi kabisa.

Mara ya kwaza nilitaka kujirusha kwenye gorofa la NSSF Posta kuna mtu akaniona sikuweza, ila hali hii imekuwa ikijirudia sana, mawazo kwangu hayaishi. Kila siku mambo mapya, hakuna siku inayoisha vizuri kwangu.

Sioni walau wa kunishika mkono, wala anaewaza kuwa fulani yupo wapi na anafanya nini.

Kuna muda sitamani kuwasiliana na mtu yoyote hasa ndugu zangu, naona kama wananichora.
 
pole sana mkuu pata muda wa kujumuika sana na watu usipende kukaa mwenyewe nenda hata week end cocobeach ukapunge upepo kisha iangalie bahari ukiwa unakumbuka yote yaliyokusibu piga kelele itokayo moyoni piga kwa nguvu lia ikiwezekana sema yote utakayo kama ni kutukana tukana baada ya hapo moyo utapoa.
 
Hi

Kiukweli namawazo sana sana leo nimenusurika kugongwa na gari mara mbili mara ya kwaza ilikuwa pale mbuyu mara ya pili morroco binafso sioni humuhimu wa mim kuish naonea wivu wale waliontanguria mbele za haki mapambano yamekuwa magumu sana peke yangu siwezi kabisa

Mara ya kwaza nilitakaga kujirusha kwenye gorofa la NSSF posta kuna mtu akaniona sikuweza ila hali hii imekuwa ikijirudia sana mawazo kwangu hayaishi kila siku mambo mapya hakuna siku inayo isha vizuri kwangu

Sioni walau wakunishika mkono wala anae waza kuwa fulani yupo wapi na anafanya nini kuna muda sitamani kuwasilian na mtu yoyote hasa ndugu zangu naona kama wananichora
Pole sana. Tatizo ni nini hasa?
 
Share nasi. Ipi shida?
Shida mimi naona ni nyingi sana matatizo hajawai isha ata yakitatuliwa zinakuja changamoto ambazo zina kuvunja moyo kupambana
 
pole sana mkuu pata muda wa kujumuika sana na watu usipende kukaa mwenyewe nenda hata week end cocobeach ukapunge upepo kisha iangalie bahari ukiwa unakumbuka yote yaliyokusibu piga kelele itokayo moyoni piga kwa nguvu lia ikiwezekana sema yote utakayo kama ni kutukana tukana baada ya hapo moyo utapoa.
Hapa ndo atadata kabisa
 
Today we don't have a motivational quote if you want to give up give.


Usha sema unamshahara sa hivi nini tena
Mnataka uhusiano mzuri na ndugu wakati hutaki kuombwa elfu kumi
 
Back
Top Bottom