Msaada: Ni mara ya pili nataka kujidhuru

Hi,

Kiukweli nina mawazo sana, sana, leo nimenusurika kugongwa na gari mara mbili. Mara ya kwaza ilikuwa pale Mbuyuni, mara ya pili Morocco. Binafsi sioni umuhimu wa mimi kuishi, nawonea wivu wale waliotangulia mbele za haki, mapambano yamekuwa magumu sana, peke yangu siwezi kabisa.

Mara ya kwaza nilitaka kujirusha kwenye gorofa la NSSF Posta kuna mtu akaniona sikuweza, ila hali hii imekuwa ikijirudia sana, mawazo kwangu hayaishi. Kila siku mambo mapya, hakuna siku inayoisha vizuri kwangu.

Sioni walau wa kunishika mkono, wala anaewaza kuwa fulani yupo wapi na anafanya nini.

Kuna muda sitamani kuwasiliana na mtu yoyote hasa ndugu zangu, naona kama wananichora.
Weka namba tukurushie hela ya bia na kubet
 
Hapo Psychological Theyrapy +Psychotherapy inakuhusu.
 
Aisee shida ni nini? hebu share na sisi hapa jukwaani Mkuu, mbona umewaza mbali sana ndugu. Sali sana muombe Mungu pekee ndio atakuonyesha njia, ila maisha haya hapo Ocean road watu wanafight cancer wewe unataka kusitisha uhai bila sababu. Huyo pepo anayekusumbua ashindwe katika JINA LA YESU akutoke sema AMEN!
 
Back
Top Bottom