Msaada: Ni mara ya pili nataka kujidhuru

Msaada: Ni mara ya pili nataka kujidhuru

Hi,

Kiukweli nina mawazo sana, sana, leo nimenusurika kugongwa na gari mara mbili. Mara ya kwaza ilikuwa pale Mbuyuni, mara ya pili Morocco. Binafsi sioni umuhimu wa mimi kuishi, nawonea wivu wale waliotangulia mbele za haki, mapambano yamekuwa magumu sana, peke yangu siwezi kabisa.

Mara ya kwaza nilitaka kujirusha kwenye gorofa la NSSF Posta kuna mtu akaniona sikuweza, ila hali hii imekuwa ikijirudia sana, mawazo kwangu hayaishi. Kila siku mambo mapya, hakuna siku inayoisha vizuri kwangu.

Sioni walau wa kunishika mkono, wala anaewaza kuwa fulani yupo wapi na anafanya nini.

Kuna muda sitamani kuwasiliana na mtu yoyote hasa ndugu zangu, naona kama wananichora.
Avatar yako inasema Hold on,vumilia sasa
 
Pimbi wewe hold on kama jina lako! Mtu gani utataka kufa then unaandika na kujibu vizuri hivi kwenye jf@ fala wewe na hutakufa ila cha moto utakiona bwege kabisa
 
Hi,

Kiukweli nina mawazo sana, sana, leo nimenusurika kugongwa na gari mara mbili. Mara ya kwaza ilikuwa pale Mbuyuni, mara ya pili Morocco. Binafsi sioni umuhimu wa mimi kuishi, nawonea wivu wale waliotangulia mbele za haki, mapambano yamekuwa magumu sana, peke yangu siwezi kabisa.

Mara ya kwaza nilitaka kujirusha kwenye gorofa la NSSF Posta kuna mtu akaniona sikuweza, ila hali hii imekuwa ikijirudia sana, mawazo kwangu hayaishi. Kila siku mambo mapya, hakuna siku inayoisha vizuri kwangu.

Sioni walau wa kunishika mkono, wala anaewaza kuwa fulani yupo wapi na anafanya nini.

Kuna muda sitamani kuwasiliana na mtu yoyote hasa ndugu zangu, naona kama wananichora.
Usijidhuru, huna marafiki wa kuwashirikisha linalokusibu?
 
Habari za leo,
Naomba uje inbox ,hilo ni tatizo la Kisaikolojia.
We are Tanzanian Psychological Association(TAPA).
Nitakuelekeza sehemu ya kupata huduma upande wa Dar kwa kua mi nipo Dodoma.
 
no matter how big the problem you have kuna watu wanapitia changamoto kubwa na ngumu kuliko wewe vumilia, maisha kila mtu anapitia changamoto kama hizo na ni kawaida sana usimpe shetani nafasi una thamani kunwa sana hapa duniani tafadhali never ever give up Hold on
 
"Hold On"

I knew exactly
What you were going through
It's just that I didn't have the right
To discuss your problems I saw you struggling
For our education I saw you struggling to get us clothes to wear mama
This man you got married to is dead alive
Over the years I asked myself
Many questions Is he my real dad or
Was I adopted mama I know it's difficult for you mama
But hold on I am a little grown up now

Oh Ho

[Chorus:]
Hold on just a little bit longer now [x4]

You were a laughing stock in the community
The press didn't rest
Makin' news out of you mama
Now is the time to show them that he who laughs last laughs the best, that's the way it is [x2]

[Chorus:]
Hold on just a little bit longer now

I know it's not easy for you mama but your tears will turn to laughter now that I'm a grown up mama

[Chorus: till fade]
Hold on just a little bit longer now

Pata maneno mazuri
 
Hi,

Kiukweli nina mawazo sana, sana, leo nimenusurika kugongwa na gari mara mbili. Mara ya kwaza ilikuwa pale Mbuyuni, mara ya pili Morocco. Binafsi sioni umuhimu wa mimi kuishi, nawonea wivu wale waliotangulia mbele za haki, mapambano yamekuwa magumu sana, peke yangu siwezi kabisa.

Mara ya kwaza nilitaka kujirusha kwenye gorofa la NSSF Posta kuna mtu akaniona sikuweza, ila hali hii imekuwa ikijirudia sana, mawazo kwangu hayaishi. Kila siku mambo mapya, hakuna siku inayoisha vizuri kwangu.

Sioni walau wa kunishika mkono, wala anaewaza kuwa fulani yupo wapi na anafanya nini.

Kuna muda sitamani kuwasiliana na mtu yoyote hasa ndugu zangu, naona kama wananichora.
Mkuu uko na depression, pole Sana... Ila swali dogo tu la kukurudisha duniani maana kwa sasa uko ulimwengu wa kujikataa... 😁 😁 Hivi umejiuliza kuwa Mungu aliekuumba kwanini anakuruhusu Kuishi hapa duniani? Tukijua yeye ndie anakupa Pumzi basi utajua kuwa yeye ndio wa kumtumaini kwa riziki zako... Acha kutumia akili zako hazitoshi peke yako.. Mrudie Muumba wako atakuongoza vema
 
Unasumbuliwa na roho ya umauti, kitu unachokiitaji kwa sasa ni kanisa tu.
 
Pole sana ndugu yangu. Kwa ushauri wangu nadhani ungefanya vitu viwili vikubwa.

1.Uanze kusali au kuswali. Itategemea na imani yako.

2. Mtafute mwanasaikolojia. Atakusaidia sana.
 
pole sana mkuu sio peke yako wengi wanapitia hali kama yako,kemea pepo la mauti linalokusumbua ona mtaalamu wa saikolojia wa afya ya akili .ni hatari ndugu kujidhuru kwani bado taifa linakutegemea. kujiua sio kuya maliza ndugu,kila mtu amezaliwa kwa mpango wa Mungu sio kwa bahati mbaya,kila mtu ana kazi ametumwa kuja kuikamilisha hapa duniani mitume wali kamilisha kazi yao wakaenda kupumuzika,vile vile wana sayans n.k.kwa hiyo kama umeshindwa kutambua kusudio ulilotumwa kuja kulifanya duniani unakufa mwili unaoza nafsi inaendelea kuishi,mtoto anazaliwa nafsi yako inaingizwa ndani ya huyo mtoto unakua mpaka unazeeka unakufa tena,kama hujajitambua unaludishwa tena duniani.sa usiombe nafsi yako iingizwe kwenye mwili wa punda..usikate tamaa mkuu kila mtu hapa duniani ana matatizo yake,cha msingi kawaone watalam wa afya ya akili watakusaidia
 
Pole mkuu hiyo hali kila mwanaume hupitia ni kawaida.
 
Shida mimi naona ni nyingi sana matatizo hajawai isha ata yakitatuliwa zinakuja changamoto ambazo zina kuvunja moyo kupambana
pole sana,ila kila unayemuona katika dunia hii anachangamoto zake na zinaweza kuwa kubwa zaidi ya zako,cha muhimu kubali hali halisi,Muombe Mungu na pambana kutatua changamoto hizo.Na kama unaweza tafuta mtu wa makamo au rafiki uzungumze changamoto yako anaweza kukusaidia mawazo ,hata kama hautopata mawazo lakini angalau ukizungumza unaweza jisikia vizuri.
 
Shida nini? Pesa, ajira, mapenzi, magonjwa au nini?
Mleta mada funguka tukussidie.
Dont give up.
Thamani ya maisha ni kubwa kuliko chochote chini ya jua.
Tunakupenda sana uendelee kuwepo katika nchi hii ambayo Mungu ametupatia.
 
After simu yako kuna simu iliingia imenivuruga

Imagen mtu anatumia madhaifu yako ili anufaike mimi huwa sina roho mbaya watu wananitumia kwafaida zao mwisho wasiku mimi nabaki pale pale wanapenda kuona nikiwa palepale ili wakiwa na shida niwasaidie chap lakini ishu inapikuja kuwa ya kwangu hawaipi kipaumbele kama mimi navyo wapa wao kipaumbele na kujituma ili wafurahi nimetumia nguvu nyingi sana kumuaminisha kuwa naweza kufanya makubwa mwisho wa siku ananiamin then ananiachia kazi naifanya kwa ufasihi bila tamaa mwisho mtu wake wakaribu anakuja kukutupia matusi na kauli za kejeri kana kwamba hakuna kitu ulichokifanya baada ya hapo akijua umeumia anakuja kujirudi uku akisingizia mtu mwingine ambaye haja sema hivyo ila niyeye mdio amesema ukiangalia ni mtu mzima uwezi mjibu wala kumtukana unamuacha kusema kesho atabadirika kesho anarudia tena zaid ya jana sasa nawaza ukimya wangu unampa jeuri ya yeye kuendelea kufanya anacho ifanyia

Watu tunawekeza iman kubwa kwa watu ili watu amini af mtu mmoja anakuja kuivunja iman iyo bila kuheshimu jaman hiyo ni sawa?
Usitegemee chocolate kutoka kwa watu, usitende wema wowote kwa mtu kama unategemea malipo
 
Today we don't have a motivational quote if you want to give up give.

Usha sema unamshahara sa hivi nini tena
Mnataka uhusiano mzuri na ndugu wakati hutaki kuombwa elfu kumi
Imebidi nicheke kwanza,,kama anataka ku give up a give tu ee
 
Usijikatie tamaa kiasi hicho, Yesu anakupenda sana. Unahitaji msaada wa kiroho ili kuondolewa hiyo roho ya mauti iliyokukamata. Nenda kwa kiongozi wa kiroho mweleze tatizo lako atakusaidia.
 
Tatizo hutaki kusema shida gani inakusumbua, watu tushapitia magumu kuliko yako ila tulifunguka yakapita, mficha maradhi(matatizo) kifo humuumbua...ooh chunga kijana hilo ni pepo linakufata
 
Back
Top Bottom