profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,595
- 3,416
Wapendwa kama kichwa cha habari kinavyoeleza,naomba kujuzwa kwa undani,kiutalaam nini matumizi ya gia position L na no 2,wakati wa kuendesha gari za automatic mfano toyota noah.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
L- low gearsL na 2 unaliforce gari kitumie tu gear namba 1 au 2 tu bila kwenda gear za juu.
Unaweza kutumia ukitaka kidrift, ukiwa umekwama kwenye tope, unashuka kilima kikali ha hautaki kuchakaza breki so gari inakua inakusaidia kupunguza mwendo.
samahani mkuu,naomba uelezee kwa ufasaha ili tuelewe vizuri,ni msaada mkubwa sana utakuwa umetupa,wengi tumekariri tu bila kuelewa kiufasaha.L na 2 unaliforce gari kitumie tu gear namba 1 au 2 tu bila kwenda gear za juu.
Unaweza kutumia ukitaka kidrift, ukiwa umekwama kwenye tope, unashuka kilima kikali ha hautaki kuchakaza breki so gari inakua inakusaidia kupunguza mwendo.
Umeeleza vema kabisa, ingepeza umalizie hii PRND ili tupate somo kidogo kwa wenye ndoto zetuNi hivi, conventional automatic car zinakua na gear box yenye gear 4 na over drive gear ya tano, sasa kazi ya hizi gear ni kufanya gari aweze kupata speed kubwa huku injini ikiwa kwenye mzunguko mdogo(rpm) sasa kadiri gear inavokua ya chini ndivo gari inavo kua na nguvu kubwa ila speed inakua ndogo, and vise versa...
Sasa pale kwenye gear lever kuna (PRND2L) sasa. L ni low gear(yaan gear number moja. Sasa gari unapoweka kwenye L maana yake unazuia gari isibadilishe gia kutoka gia namba moja kwenda gear namba mbili kwakua unakua ume i-lock kwenye first gear.
Ukiiweka kwenye 2 maana yake gari itakua inabidili gia kutoka moja na kuishia namba 2... Haitaendelea kwenda gear nyingine za juu(yaan 3,4 mpaka overdrive) (kumbuka gAri ikiwa kwenye L na 2 haitakua na speed sana kwakua gear ratio inakua ndogo hivo kupelekea injini kuzunguka sana huko out put speed kwenye wheels inakua ndogo but with power multiplication.
Sasa ni wakati gani L na 2 hutumika... Sasa hizi gears mbili huwafanya gari kua na nguvu so kama unakua kwenye mazingira yanayokufanya uhitaji nguvu nyingii(mfano kwenye mpando mkali, kuvuta kitu kizito basi unaweka hiyo L au 2... Au kama upo kwenye mazingira ya mwendo mdogo na utaki gari ibadili gear unaweka L au 2 depending to desired speed..
Ingawa ukiweka D the car itself will take care of road conditions to determine the best gear that match with your driving situations.
Note:cars with conventional automatic gearbox kama noah yako zinakua na changamoto ya gear hunting wakati inapokua mlimani.... Yaan kuamua iende gear namba 2 au irudi moja hasa unapopanda mlima ukiwa kwenye speed ndogo hii ni kwakua conventional automatic gear box zinakua na fixed gear ratios. (Hii problem haipo kwenye gari yenye gear box ya CVT)
Very dangerous... ATF na CVT fluids zipo tofauti kabisa in terms of application... Hii ni kutokana na utofauti wa ufanyaji kazi wa gear box inayotumua ATF na inayotumia CVT.. sasa kuna watu wanaenda nunua brand names(utasikia naomba hydraulic ya Castrol bila kujua kua ni recommended type kwa gear box yake au lah.. motokeo yake gearbox zinakufa... Hakikisha unaweka type yenyewe inayotakiwa na manufacturer.Ahsante.
Na hapo ndipo wamiliki wengi wa magari husussan ya auto, hawajui oil gani hutakiwa ktk gari yake, iwe ya Engine/Transmission. Badala yake humtegemea fundi ajue yeye, wakati mafundi wetu wengi nao wanachojua wao ni bei za oil na sio oil zenyewe, Eg, mafundi wetu mitaani robo 3, hawajui tofauti za ATF na CVT, kijulikanacho ni kua zote ni za gearbox tu.
Ni hivi, conventional automatic car zinakua na gear box yenye gear 4 na over drive gear ya tano, sasa kazi ya hizi gear ni kufanya gari aweze kupata speed kubwa huku injini ikiwa kwenye mzunguko mdogo(rpm) sasa kadiri gear inavokua ya chini ndivo gari inavo kua na nguvu kubwa ila speed inakua ndogo, and vise versa...
Sasa pale kwenye gear lever kuna (PRND2L) sasa. L ni low gear(yaan gear number moja. Sasa gari unapoweka kwenye L maana yake unazuia gari isibadilishe gia kutoka gia namba moja kwenda gear namba mbili kwakua unakua ume i-lock kwenye first gear.
Ukiiweka kwenye 2 maana yake gari itakua inabidili gia kutoka moja na kuishia namba 2... Haitaendelea kwenda gear nyingine za juu(yaan 3,4 mpaka overdrive) (kumbuka gAri ikiwa kwenye L na 2 haitakua na speed sana kwakua gear ratio inakua ndogo hivo kupelekea injini kuzunguka sana huko out put speed kwenye wheels inakua ndogo but with power multiplication.
Sasa ni wakati gani L na 2 hutumika... Sasa hizi gears mbili huwafanya gari kua na nguvu so kama unakua kwenye mazingira yanayokufanya uhitaji nguvu nyingii(mfano kwenye mpando mkali, kuvuta kitu kizito basi unaweka hiyo L au 2... Au kama upo kwenye mazingira ya mwendo mdogo na utaki gari ibadili gear unaweka L au 2 depending to desired speed..
Ingawa ukiweka D the car itself will take care of road conditions to determine the best gear that match with your driving situations.
Note:cars with conventional automatic gearbox kama noah yako zinakua na changamoto ya gear hunting wakati inapokua mlimani.... Yaan kuamua iende gear namba 2 au irudi moja hasa unapopanda mlima ukiwa kwenye speed ndogo hii ni kwakua conventional automatic gear box zinakua na fixed gear ratios. (Hii problem haipo kwenye gari yenye gear box ya CVT)
Inatakiwa Kubadilishwa kwa Muda gani hizi Gear Box FluidsVery dangerous... ATF na CVT fluids zipo tofauti kabisa in terms of application... Hii ni kutokana na utofauti wa ufanyaji kazi wa gear box inayotumua ATF na inayotumia CVT.. sasa kuna watu wanaenda nunua brand names(utasikia naomba hydraulic ya Castrol bila kujua kua ni recommended type kwa gear box yake au lah.. motokeo yake gearbox zinakufa... Hakikisha unaweka type yenyewe inayotakiwa na manufacturer.
Kingine ni frequency ya kuchange gear box fluids.. hapa pia kuna shida.
Mkuu gari yenye PRND peke yake unateremka vipi kwenye mlima?Yes ukisoma maalezo yangu utagundua hii PRND nimeisha ielezea indirect (gari yenye prnd huwa ni zile yenye gearbox ya CVT... Gear box ya cvt ni nzuri sana ukijua namna ya kuitunza.. hii gear box ipo very Weezer kwenye gear ratio kwakua inatumia belt ku transfer power kutoka kwenye injini kwenda matajri hii gearbox huwa haina zile gear change shocks kama zile automatic za kawaida kwakua hivi gapless (yaan continuous variable transmission) ... Sasa kwakua ipo precise kwenye gear ratio hii haitaji L wala 2 kwakua car computer inatake car sana (na gari za gearbox hizi zinakua ni gari za umeme mwingi mpaka accelerator pedal yake (electric throttle body) sasa hapa utakua gari ina change tu RPM ili kuchange power band ya injini huku belt ikichange gear ratioa seamlessly kuwezesha gari either kua na power kubwa na ndogo kulingana na terrain uliopo...
Kwa gearbox hii gari hua inakua more fuel efficient kuliko conventional automatic gear box cars na inakua haina tatizo la gear hunting..
Cvt gear box ipo very smooth kwenye gear change kuliko gearbox yeyote, pia inawah kuchanganya sana na ina attain speed kubwa at low rpm ndo maana ipo fuel efficient. (Mfano gari ya cvt inaweza kufika speed ya 80km/h ikiwa kwenye rpm ya 1.4 lakini gari yenye conventional automatic gear box ina attain speed ya 80 ikiwa kwenye rpm ya 2.
Kwa gari hizi za CVT utaigundua kwenye gear lever yake utakuta ina PRND au PRNDB pamona Sport mode au PRND(S+/-) inakua haina L na 2..
Note: hizi gari za CVT ukiwa unaenda badilisha transmission fluid... Hakikisha unaweka recommend fluid type kwakua ukiweka fluid tofauti na recommended type gear box inakufa muda mfupi baada ya kuchange... Wengi wamekutwa na changamoto hii...
Na mwaweza kunicheki kwa professional services at very affordable costs and pia am available kutoa consultation about car servicing for free. Just sent me private text (PM) nipo dsm kigamboni kibada na kinondoni makaburini.
Sas hiyo na wew mbona Ni packing ,riverz,Umeeleza vema kabisa, ingepeza umalizie hii PRND ili tupate somo kidogo kwa wenye ndoto zetu
Mkuu nimekupata vyema kabisa.Thamani yako kwenye hili jukwaa la magari ni kubwa sana.Gearbox nyingi za CVT zinakufa kwa sababu ya kiherehere cha watu kubadilisha oil.
Trust me ukipata Oil Original ya CVT unaweza kugonga 100k km hujabadili Oil ya gearbox.
I know the guy ambaye gari yake ilipasua Sump ya CVT gearbox na alikuwa ashatembea 80k km bila kubadili oil.
Aiseee oil aliyotoa ilikuwa bado inang'aa.
Mkuu nimekupata vyema kabisa.Thamani yako kwenye hili jukwaa la magari ni kubwa sana.
Me tooSubscribed
InafahamikaSas hiyo na wew mbona Ni packing ,riverz,