Msaada: Nichukue gari ipi kati ya hizi?


Hivi hii kitu kwamba subaru zote ni perfomance car mnatoa wapi. Na sidhani kama wanaosuggest Subaru ni kwa sababu ya perfomance. ina strength zake nyingine ambazo si perfomance, kama vile AWD, handling n.k
Ila tukirudi kwenye point
Mafundi wa Subaru sasa hivi wapo ila si wengi lakini si gari mbovu. Spare zipo kibao tu sasa, bei ni ghali kidogo kuliko toyota.
Nadhani kuendesha ni nzuri zaidi kuliko kluger za miaka hiyo.
Model za miaka hiyo za Subaru zina tendency ya kuanza kula oil zikishazidi Km 160,000, sina hakika ni model ipi hasa, turbo au non turbo
 

Haina faults, ila hata ya 2.0 turbo ina nguvu tu ya kutosha. Inataka service on time, oil sahihi na kwa wakati.
 
Haina faults, ila hata ya 2.0 turbo ina nguvu tu ya kutosha. Inataka service on time, oil sahihi na kwa wakati.

Kwahilo nitaweza chifu sitaweza kukwama maana ninamuda sasa mrefu wa kuishi na magari na pia natunza sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…