Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gari makinSubaru ya 2008-2012 hii itakufaa zaidi
Achana na Subaru, chukua Toyota utakuja kunikumbuka.
1. Mafundi wa kubahatisha.
2. Viti vya Subaru viko chini, Yan Dereva unadumbukia sijui ndo sport car wanasema.
3. Spare ni ishu nyingine ya kukatiza tamaa.
Chukua Klugger au ongeza pesa chukua Harrier wanaita tako la nyani.
Bora harrier old model kuliko huyo mdudu Forester.
Achana na maswala ya performance sijui vitu gani kwani unaenda kushindana mbio za magari?
Binafsi yangu gari nataka ikiwa kubwa basi iwe na nguvu na nguvu lazima ihusishe wese la kiwango flani hiyo kwangu syo shida.
Matunzo yapi yanatakiwa juu ya hiyo gari?
Kufanya service kwa wakati(engine &gearbox )?
Au ni gari ambayo haihitaji mikimiki au nini?
Au ni gari zina faults flani toka kiwandani
(Mechnical issues au nini)
Nauliza kwa sabab ndio gari yngu ninayotaka kuchukua iwe na turbo+ intercooler ikiwa na 2.5L ni nzuri zaidi with manual gearbox(5 speed gearbox)
Haina faults, ila hata ya 2.0 turbo ina nguvu tu ya kutosha. Inataka service on time, oil sahihi na kwa wakati.