Msaada: Nifanyaje kuhusu matatizo haya ya gari?

ti sio sawa na port broo..ti ina engine kubwa broo
 
Karibu mkuu.
Nataka nitoke kwenye legacy,karibu mwaka wa 6 now,limekua kimeo mno,trip shamba trip garage 😀,katika pita pita mitandao naona altezza na mark x zinauzwa bei ya kawaida kimtindo,ndio nazifanyia tathmini
 
Tupa tu au uza scrap. Mnafikiri Wajapan wanaowauzia hayo magri ni wajinga? Muda wake wakuya scrap umeshafika. Mnajinunulia matatizo nyie wenyewe.
 
Tupa tu au uza scrap. Mnafikiri Wajapan wanaowauzia hayo magri ni wajinga? Muda wake wakuya scrap umeshafika. Mnajinunulia matatizo nyie wenyewe.
You are right, at the same time you're wrong....

Gari lolote likitunzwa vizuri na kupewa huduma zenye ubora..(vipuri), nakuhakikishia utaliendesha si chini ya miaka 10 na hapo bado huko Japan walishalichoka..

Kinachofanya magari yafe ghafla..

1....Ajali..hii haina ujanja
2....Kufanya service zilizochini ya kiwango hususani transmission fluid, engine oil na filter s zake, coolant, spark plugs na air filter pamoja na vipuri vingine vilivyopo sehemu nyeti zinazosuguana..eg cv joints.
3....Mikono mingi....unanunua gari, kila mshikaji ndiyo analitumia kwendea kwa demu wake huku akiweka mafuta ya buku 5...akilichubua rangi anakutupia hapo.
4....Tabia mbaya ya uendeshaji mbaya...mfano mtu anafukia mashimo na Passo kama vile prado.

Ukiepuka namba 2 mpaka 4 utaliendesha gari lako mpaka lifanane na wewe..
Namba 1 haiepukiki...hapo ni kuwa tu mwangalifu na Mungu asaidie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mm gar yangu Ni Toyota vitz cc 990 na nimeitembeza kutoka dar had mwanza na nikarudi nayo fresh baadaya kutoka service kubwa

kilicho akilini kitumie
 
Mkuu mm gar yangu Ni Toyota vitz cc 990 na nimeitembeza kutoka dar had mwanza na nikarudi nayo fresh baadaya kutoka service kubwa

kilicho akilini kitumie
Mkuu, hakuna sehemu nimesema haiwezi kusafiri, kama nimesema basi haikuwa maana yangu nieleweke hivyo, ninachomaanisha hiyo si gari ya safari.

Hata bajaji zinasafiri huo umbali lakini hazikuundwa kwa ajili ya safari. Ukirudia rudia kuitumia kwenye safari za km nyingi at per itakuletea shida lazima.
 
Aah, kila mtu yupo huru na mawazo yake. Walioyauza wenyewe wana ya scrap sisi tuone yanafaa miaka 10 mingine! Umasikini tu, hakuna zaidi.
 
Kuna watu wengi tu wana gx 100 na gx 90...zipo barabarani mpaka sasa...full ac, full power....gari kama hizi unadhani zinakosa miaka 10+ rodini..?

Ni kweli suala la uchumi wetu duni ndiyo unasababisha yote hayo...

Lakini tukiachana na umasikini.....
Point hapa ni kwamba gari likitunzwa linaweza kukaa miaka zaidi ya 10 ilihali liliingia nchini likwa used
Aah kila.mtu yupo Hutu na mawazo yake. Walioyayrnrza wenyewe waya scrap sisi tuone yanafaa miaka 10 mingine! Umasikini tu, hakuna zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nataka nitoke kwenye legacy,karibu mwaka wa 6 now,limekua kimeo mno,trip shamba trip garage 😀,katika pita pita mitandao naona altezza na mark x zinauzwa bei ya kawaida kimtindo,ndio nazifanyia tathmini
Kati ya hizo mbili chukua Mark X.
 
Aah kila.mtu yupo Hutu na mawazo yake. Walioyayrnrza wenyewe waya scrap sisi tuone yanafaa miaka 10 mingine! Umasikini tu, hakuna zaidi.
Kumbe unajua. Vinginevyo wote tungekuwa na brand new Land cruiser V8.
 
Mkuu mm gar yangu Ni Toyota vitz cc 990 na nimeitembeza kutoka dar had mwanza na nikarudi nayo fresh baadaya kutoka service kubwa

kilicho akilini kitumie
Ushauri hapa ni kuto-overwork hizo gari. Ukiendesha vizuri bila pressure unafika bila matatizo,lakini ukianza mambo ya sifa umeona mwenye mark x kapita unataka uanze ligi unakaanga hio gari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…