Msaada: Nifanyaje kuhusu matatizo haya ya gari?

Wakati fundi wa Manyoni amekwambia head imepinda ulinunua head nyingine au ndo alikufungia tu kwa wewe kudhani urahisi na yeye kutamani pesa yako

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Fundi alisema imepinda kwaiyo ipigwe pasi , na alifanya hivo , ...ikarudishiwa fresh ,
 
Unakwenda mwanza na porte kwa spidi ya harrier kw aina ya gari yako ulitakiwa utumie siku 3
Nunua engini nyingine mswaki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani mtu anaanzisha ugomvi ambao anajua atapigwa tu. Hao huwa nawadhalilisha unaenda kumkata kwenye speed over 150kph akiangalia anaona kifo nje nje!
mwendokasi unaua bro acha kabisa hiyo tabia. Mimi nilianzisha ligi na kichaa mmoja ikafika kipindi nikaona gari inaanza kuvibrate kama ndege inataka kupaa nikaamua kunyoosha mikono....
 
Sawa , iyo itafanyika ! Ila kuna mtu alishauribakasema baala yakuingia gharama zote za kununua engine , bora kununua kitu kinaitwa mswaki , kureplace hiyo engine, hapo mnasemaje wadau mnaushauri gan
Kununua Engine mswaki it's a good idea

Kununua injini nyingine it's a better idea

Kununua Engine used Japan it's the best idea.

Sukushauri sana kwenye mswaki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kununua Engine mswaki it's a good idea

Kununua injini nyingine it's a better idea

Kununua Engine used Japan it's the best idea.

Sukushauri sana kwenye mswaki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Any way kwa vile nigar ya kutembelea na engine haijadhurika sana kwa maelezo ya fundi na hali ya mfuko wa mwenye gar na muuzaji , tumeona tununue mswaki tuweke kwa sasa ..
 
mwendokasi unaua bro acha kabisa hiyo tabia. Mimi nilianzisha ligi na kichaa mmoja ikafika kipindi nikaona gari inaanza kuvibrate kama ndege inataka kupaa nikaamua kunyoosha mikono....
Inategemea uwezo wako kama dereva,gari yako na mazingira. Nazingatia yote hayo.
 
Poa poa...tafuta fundi mzuri afunge akiwa ametuliza kichwa vizuri..

Awe makini sana kwa timing chain/belt na seals za oil..
All the best...Usisahau kuleta mrejesho
Any way kwa vile nigar ya kutembelea na engine haijadhurika sana kwa maelezo ya fundi na hali ya mfuko wa mwenye gar na muuzaji , tumeona tununue mswaki tuweke kwa sasa ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu wangu hayo magari sio safari ndefu kiasi hicho na pengine hamkupumzika vituo vingi.. Badili engine kisha achana na safari za masafa
Jr[emoji769]
 
Mungu wangu hayo magari sio safari ndefu kiasi hicho na pengine hamkupumzika vituo vingi.. Badili engine kisha achana na safari za masafa

Jr[emoji769]
Mshana mm na paso passo na mm hii ni ya pili kumiliki nimenunua hata mwezi haijaisha huwa ikifikia km 190,000 hadi laki2 huwa naiuza naongeza hela nanunua ingine hapo haijaanza kwenda gereji, cha msingi service iwe sio ya kuunga, tumia oil genuine za toyota. Huwa nasafiri nonstop. Juzi nimetoka dar saa 9 mchana na saa 2 asubuhi nlikuwa mwanza, ukiniambia sio gari za masafa sikuelewi. Tena njiani nlipiga kiraka ambacho hakijafukiwa nikapinda rim maeneo ya 70 km kabla ya manyoni ilikuwa saa 7:30 usiku. Gari haikusumbua kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli mkuu, tatizo ni kwamba umaskini wa fedha na mawazo unatufanya tusiwe na matumizi sahihi ya magari.

Unakuta mtu kanunua mark x halafu kainyanyua juu ili ifanye kazi ya SUV.
kwan kuna ubaya wowote kunyanyua gari?? mana kuna baadh ya barabara huwezi pita kama gar yako n ya chini kwa hyo unalazimika kunyanyua gar yako

Sent from my SM-J320F using Tapatalk
 
maji ya bomban hayafai kutumika kama coolant?

Sent from my SM-J320F using Tapatalk
 
kwan kuna ubaya wowote kunyanyua gari?? mana kuna baadh ya barabara huwezi pita kama gar yako n ya chini kwa hyo unalazimika kunyanyua gar yako

Sent from my SM-J320F using Tapatalk
Kunyanyua gari kuna hatari sana ni vile tu mazingira ya nchi yetu barabara asilia kubwa ni za vumbi...
Niliponunua gari, niliendesha kama mwaka na nusu bila kulinyanyua, nikaja nikalinyanyua kidogo..
Nelisikia gari limekuwa tofauti sana....yaani utafikiri ni magari mawili tofauti..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…