Msaada: Nifanyaje kuhusu matatizo haya ya gari?

Watu hawajui,kama unahitaji gari ikupitishe kipindi cha mpito ni hizi GX100 wao wanakimbilia IST na Passo wanafikiria mafuta tu. Mimi ninayo siiuzi huwa inakaa kusubiri hali ngumu ndio naitumia. Watu kibao wananisumbua niwauzie
ila GX 100 Zinabwiya mafuta asee tuache utani

Sent from my SM-J320F using Tapatalk
 
maji ya bomban hayafai kutumika kama coolant?

Sent from my SM-J320F using Tapatalk
Yanatumika tu kwa shida......mathalani gari limechemsha ukiwa porini, ukifika mjinj inashauriwa umwage maji uweke coolant..
Au unaweza kukuta umepasua radiator na mfuko haujakaa vizuri, unaweza kuweka yakusukume siku mbili tatu uje ununue coolant

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi siwaelewi wanaposema gar haikupumzishwa, nlichogundua hapo ni suala la service tu ndio lina matter , manake niliwah kutoka dar mpk kyela na funcargo na sikusimama mahali ...na gari ikarud dar kesho ake bila shida, ...so minakuunga mkono
Mungu wangu hayo magari sio safari ndefu kiasi hicho na pengine hamkupumzika vituo vingi.. Badili engine kisha achana na safari za masafa

Jr[emoji769]
Mshanachapa kilicho cost gar ni service mbov ya mwenye gari , manake gari inaonesha hakuwa inafwatiliwa kikamilifu.. suala la kumpumzika hapana ...gari imeanza kuzingua tukiwa manyoni, sasa kutoka dar mpk manyoni mbona sio mbali kivilee,
Mwaka jana nilikuwa napeleka gari kwa mteja , nilitoka dar saa 2 usiku na fancargo nkafika mbeya kyela kesho ake na sikusimama mahali na gari haikuzingua mahali kabisaa..na ipo hadi leo haijawah kusumbua ...ishu hapo ni service tu broo
 
naomba kueleweshwa hapa kwny COOLANT & MAJI YA DAWASCO jaman maji ya dawasco yanashda gan ukitumia kama coolant?? mana wengi wanatumia maji y dawasco as coolant....

Sent from my SM-J320F using Tapatalk
 
naomba kueleweshwa hapa kwny COOLANT & MAJI YA DAWASCO jaman maji ya dawasco yanashda gan ukitumia kama coolant?? mana wengi wanatumia maji y dawasco as coolant....

Sent from my SM-J320F using Tapatalk
Maji yanasababisha kutu hivyo maisha ya radiator huwa mafupi. Pia yanasababisha kutu kwenye njia zake ndani ya engine.
 
walio weng hawajuagi kwamba ile bei pale ni ya gar yaan bado usafiri,Tra nakadhalika mwishowe akujumlisha anakuta gari inafika $600 na kahela kenyewe alikopa $200 mwishowe anaamua kutelekeza gari. but hawa wazee wa kodi sio poa aasee

Sent from my SM-J320F using Tapatalk
 
Yaani hizi gari ndogo tu mfano Passo,Vitz au March bei yake ya kwenye meli haipungui $1000..[emoji119][emoji119]
Sasa kama mtu hakujipanga, yaani analiacha bandarini..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani hizi gari ndogo tu mfano Passo,Vitz au March bei yake ya kwenye meli haipungui $1000..[emoji119][emoji119]
Sasa kama mtu hakujipanga, yaani analiacha bandarini..

Sent using Jamii Forums mobile app
akiwaza bado anatakiwa kumlipa mtu anaitwa "clearing & fowarding agent" dah anaamua kusitisha zoezi

Sent from my SM-J320F using Tapatalk
 
kwan kuna ubaya wowote kunyanyua gari?? mana kuna baadh ya barabara huwezi pita kama gar yako n ya chini kwa hyo unalazimika kunyanyua gar yako

Sent from my SM-J320F using Tapatalk
Ni yako unaweza kuifanya vyovyote ila Kwangu mm naona si sawa, kama barabara ni mbovu nunua gari inayokidhi hilo hitaji. Hivi ni vyombo vya moto na Watengenezaji magari wanatengeneza haya magari kwa ratio maalum, kuongeza ongeza au kubadili kunaweza kupunguza usalama.
 
Kwahiyo mkuu kabla ya kuanza kutumia coolant, ( mi nawekaga maji kitambo)ni vizuri radiator isafishwe kwanza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
naomba kueleweshwa hapa kwny COOLANT & MAJI YA DAWASCO jaman maji ya dawasco yanashda gan ukitumia kama coolant?? mana wengi wanatumia maji y dawasco as coolant....

Sent from my SM-J320F using Tapatalk
Ndugu Yangu coolant ina mchanganyiko wa kemikali ambazo zinazuia kutu pia maji ya coolant yanapoza engine Kwa muda wote tofauti na maji ya kawaida..
Huko Kwa wenzetu hawatumii maji ya kawaida kwasabb sio Tu unauwa rejeta pia engine (block) inapata kutu na kusababisha madhara ya kuchemsha na hatimae kupasua cylinder head
 
Kwahiyo mkuu kabla ya kuanza kutumia coolant, ( mi nawekaga maji kitambo)ni vizuri radiator isafishwe kwanza?

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes. inakuwa ni vizuri zaidi..Unaweza ukafanya radiator flashing.....kisha ukaweka coolant...

Radiator flashing hufanyika hivi..
Unaweka coolant mpya, unawasha gari linakaa silence kwa muda mpka injini ipate joto lake.....subiri feni ufungue na kufunga kama mara tatu au nne hivi....hii inaashiria joto la engine litakuwa limefikia maximum level na hiyo coolant itakuwa imeahazunguka vya kutosha na kuondoa kiasi chocho cha maji yaliyosalia..

Hapo unaweza kuzima gari na kufungua koki ya kumwaga coolant, kisha jaza coolant mpya moja kwa moja.

.
****Kama unahisi kuna mahali pameziba, ni vyema fundi azibue manual....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kuongezea tu kila kampuni ya gari ina rangi yake ya coolant inayotakiwa kuwekwa mfano Toyota wana coolant rangi ya pink na sio nyekundu kama wengi walivyozoea lakin all in all rangi yoyote ya coolant inaweza kufix gari yoyote kikubwa ni je hiyo coolant unayoweka nayo inakidhi viwango vya mchanganyiko? Maana coolant inayotakiwa ni ile iliyochanganywa 50,50 kwa maana asilimia 50wameweka distilled water na 50 zingine ndo hizo chemical zinazowekwa ila sio unaweka coolant ilimrad imeandikwa coolant wengine watengenezaji nao wanachukua maji wanachanganya na rangi na kuandika ni coolant na mfano wa hizo ni hizi abro coolant, hazina uwezo mzuri wa kupoooza engine ni kama maji tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio anaweza? Ni anaweka oil za kupima na mafundi wengi ndo wako hivyo ukiwabana sana utasikia oil ni oil tu ilimrad uwah kufanya service

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…