Bajeti itamkwamisha kwenye hao mademuUko sahihi mkuu. Ila hapo kwenye grocery nawaza kaa budget yake itaweza?
Uwe unanitembelea hapa uyole Ili tumaliziewote Hiyo 1mImebaki 1M nyingine zimeishia kwenye accommodation toka nimefika nalala uyole guest
Kama una mtaji wako, ukaamua uende uwachukue wahaya 30 wa pale Temeke ukawapeleka Chunya.Hapa umenena kwenye migodi peleka pombe kali
Au jenga lodge fungua danguro, malaya wawe wanakulipa kwa siku chumba atakachotumia
Mitumba inalipa Mbeya mjini tu tena uwe na location nzuri
Maeneo ya migodi biashara za dhambi dhambi ndio huwa zinalipa
Umesema vyemaKama una mtaji wako, ukaamua uende uwachukue wahaya 30 wa pale Temeke ukawapeleka Chunya.
Baada ya miezi miwili uwe unafanya rotation kwa kubadilisha mademu, utajikuta una make hela nyingi sana.
Kwasababu kule mtu kutoa 50K kwa short time ni kawaida.
Mh dada weeeee..Uwe unanitembelea hapa uyole Ili tumaliziewote Hiyo 1m
Uwe unanitembelea hapa uyole Ili tumaliziewote Hiyo 1m
🤣🤣🤣🤣 Ndo ivo 😋[emoji3][emoji3] dah
🤣🤣🤣Si unatujua tulivo🤨Mh dada weeeee..
Niliwahi kuingia baa moja chunya mjini, nikakuta sare ya wahudumu ni kanga moja. Unajua kanga moja!!... halafu ulikuwa msimu wa baridi. Wanafunga kanga kwa ule mfumo wa kupitisha huku na huku halafu wanafunga kifundo nyuma ya shingo. (Tumefungwa sana hivi tukiwa wadogo)Bajeti itamkwamisha kwenye hao mademu
Ila ni biashara ya uhakika
Groceries za Chunya ushindani upo kwenye mademu.
Ukiwa na mademu wakali kila siku utakuwa unajumua vinywaji vipya.
LubegaNiliwahi kuingia baa moja chunya mjini, nikakuta sare ya wahudumu ni kanga moja. Unajua kanga moja!!... halafu ulikuwa msimu wa baridi. Wanafunga kanga kwa ule mfumo wa kupitisha huku na huku halafu wanafunga kifundo nyuma ya shingo. (Tumefungwa sana hivi tukiwa wadogo)
Kwamwe usije rudia kufuata biashara kwa maelezo ya mwanamke pekee.mdada mmoja tulikaa seat za upande mmoja nikaanza kumdadisi
Unakiasi gani?Wakuu naombeni ushauri nifanye biashara gani kwa huku ili nikuze mtaji?
Kwamwe usije rudia kufuata biashara kwa maelezo ya mwanamke pekee.
Unakiasi gani?
Guest bei gani hukoImebaki 1M nyingine zimeishia kwenye accommodation toka nimefika nalala uyole guest
kaka tafta chumba upangee...usikae kwenye guest house...
fanya research ya kuuza dagaa wa mwanza hapo makongorosi ukishapata soko la uhakika dagaa nitakuagizia kutoka mwanza ama nitakuuganisha na mtu
Mimi niko mbeya lakini hapo makongorosi ni mwenyeji...
Fanya biashara ya mekyuri, nakupa mfano nanunua mekyuri kg 1 kwa laki 5 maana sasa ni adimu ila kabla ilikuwa laki 3 nauza gram 1 kwa shs elfu 1, Ila sasa kwa kuwa ni adimu nauza shs 1500 kwa gram 1, piga hesabu utaona faida yake
Ila changamoto yake haitoki upesi inachukua muda hivyo lazima uwe na biashara nyingine ndogo ya kukupa hela ya kula
Wazo la pili kwa hiyo 1m tafuta till za uwakala wa mpesa, tigo, halopesa na Airtel kisha nenda mgodi wwt wa dhahabu uliochangamka ambapo utakuta kutokana na changamoto za upatikanaji wa huduma hizo mteja akirusha hela kuna hela nyingine anakulipa tofauti na ile commission unayopewa na mtandao itakusaidia sana