Msaada: Nikishapiga kimoja jogoo analala

Msaada: Nikishapiga kimoja jogoo analala

KUNDULE

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Posts
318
Reaction score
177
Jamani si utani ni ukweli kabisa yani wakati wa tendo nikishapiz basi siwez rudia tena, punyeto sipigi nakula vizuri sasa cjui tatizo nini nisaidien jamani

Kwa kuongezea mpenzi wangu huwa namfikisha mana namwandaa vizuri mpaka anamaliza ata kabla ya tendo lenyewe
 
Nenda Foreplan clinic kwa dokta mwaka ukate mzizi wa fitina
 
Kula na kunywa vitu vifuatavyo as often as possible :-
-Vitunguu swaumu
-Vitunguu maji fresh
-Maji yaliyochanganywa na limao.
-Karanga mbichi
-Bajia za dengu
-Mbegu za mboga
-Nazi mbichi
-Juice yenye mchanganyiko wa tikiti maji,beatroot,na limao
-Tulizana wakati ukipiga miti.
 
Mchicha huu huu mchicha kama utaweza kuupata fresh, unauosha unauweka kwenye blender pamoja na juicy unayoipenda, unapata glass moja ya mkorogo huo kabla hujakwenda kulala au asubuhi ukiamka.
 
Jamani si utani ni ukweli kabisa yani wakati wa tendo nikishapiz basi siwez rudia tena, punyeto sipigi nakula vizuri sasa cjui tatizo nini nisaidien jamani

Kwa kuongezea mpenzi wangu huwa namfikisha mana namwandaa vizuri mpaka anamaliza ata kabla ya tendo lenyewe
Dawa ulizo pewa ikiwa bado hujapona nitafute nipate kjukutibia upate kupona.Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Punguzaa kula chips na mayai yasiokuwa na baba, hayo ndio yanapunguzaa nguvu mkuu
 
Yawezekana una msongo wa mawazo, ondoa kwanza msongo wa mawazo kisha hakikisha kuwa hufanyi zinaa maana yake awe mke wako wa ndoa maana wakati mwingine performance inachangiwa na amani ya rohoni mwako, kama ni uzinzi huwezi kuwa na hiyo amani hivyo utaishia kushindwa tu na mwisho utaanza kumeza viagra.
Kama uliyenaye ni mke wa ndoa, hakikisha unapata chakula bora, epuka sana nafaka zilizokobolewa na tumia asali na mdarasini badala ya chai. Kabla ya kulala koroga asali na mdarasini kama kijiko kimoja kimoja hivi, weka kwenye maji ya moto unywe au ule mchanganyiko huo bila ya kuchanganya na maji.
 
Jamani si utani ni ukweli kabisa yani wakati wa tendo nikishapiz basi siwez rudia tena, punyeto sipigi nakula vizuri sasa cjui tatizo nini nisaidien jamani

Kwa kuongezea mpenzi wangu huwa namfikisha mana namwandaa vizuri mpaka anamaliza ata kabla ya tendo lenyewe
kama ulikuwa unalambwa koni ni matatizo haya. Japo mwanzon huwez ona km umeathirika lkn kadiri ya siku zinavyoenda inaleta matatizo haya.
Pole sana mkuu
 
Mwisho wa yote, kabla ya tendo kunywa juice ukwaju just glass moja tu, utakuja kuleta hapa ushuhuda
 
Back
Top Bottom