elia kwilasa
Member
- Oct 8, 2014
- 81
- 63
Habari zenu wakuu
Naomba msaada wenu kwa tatizo hili kwani bila kupata msaada japo wa mawazo naweza pata hata magonjwa ya zinaa na ukimwi ukwl ni kwamba tangu nianze kufanya mapenz sijawai kupiga bao nikitumia kinga(kondomu) nimejiuliza Sana tatzo ni nini sijapata jibu
Je Kama ni ugonjwa Una tiba? na Kama sio ugonjwa nini cha kufanya ili nifanye ngono salama maana naogopa Sana magonjwa ya zinaa naomba msaada wa mawazo yenu plz
piga bila ganda wwe
akili za kuambiwa changanya na za kwakoNa akipata ngoma utamcheka
Unanyota ya HIV.
Inaelekea unatumia sana tatu bomba. Jaribu zile za buku3
Habari zenu wakuu,
Naomba msaada wenu kwa tatizo hili kwani bila kupata msaada japo wa mawazo naweza pata hata magonjwa ya zinaa na UKIMWI. Ukweli ni kwamba, tangu nianze kufanya mapenzi sijawahi kupiga bao nikitumia kinga (kondomu). Nimejiuliza sana tatzo ni nini sijapata jibu.
Je, kama ni ugonjwa una tiba? Na kama sio ugonjwa nini cha kufanya ili nifanye ngono salama? Maana naogopa sana magonjwa ya zinaa.
Naomba msaada wa mawazo yenu plz