Kamau Kingu
Member
- Feb 8, 2015
- 71
- 7
Ngono Salama????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
IKwa mfano aina/brand zipi mkuu ili tuziepuke.Kuna baadhi ya kondom huwa zimewekewa chemicals at the tips ku-delay ejaculation, kwavyo kuwa makini na aina ya kondomu unayotumia, tumia latex za kawaida ambazo Hazina nyongeza ya hizo chemicals mbali na hapo unaweza kuwa na psychological issue, kwahiyo nashauri foreplay muifanye kwa muda wa kutosha na hakikisha akili yako unaiweka katika mtanange
IKwa mfano aina/brand zipi mkuu ili tuziepuke.