Msaada: Nikivaa kinga (Kondomu) wakati wa kufanya mapenzi sifiki kileleni

Msaada: Nikivaa kinga (Kondomu) wakati wa kufanya mapenzi sifiki kileleni

Usi tumie condoms ambazo zina bana sana hasa kama una machine ambayo ni above average kidogo(rough rider, salama na nduguze).Jaribu latex condoms kama (wet n wild ambazo ni easy wear, kuna king size pia ambazo ni xtra large).Ila bao la condom huchelewa kidogo kuliko ukienda kava. Kila la heri
 
Ogopa UKIMWI.
Acha kujiwekea mazingira ya kuathirika kwa starehe ya dakika kumi.
Oa utulie.
 
Ila kweli banaa ukivaa haya makitu bao mpaka ufosi sanaa ndio laja, ndio mana mi nalowekaga tu.
 
Kuna baadhi ya kondom huwa zimewekewa chemicals at the tips ku-delay ejaculation, kwavyo kuwa makini na aina ya kondomu unayotumia, tumia latex za kawaida ambazo Hazina nyongeza ya hizo chemicals mbali na hapo unaweza kuwa na psychological issue, kwahiyo nashauri foreplay muifanye kwa muda wa kutosha na hakikisha akili yako unaiweka katika mtanange
IKwa mfano aina/brand zipi mkuu ili tuziepuke.
 
Back
Top Bottom