elia kwilasa
Member
- Oct 8, 2014
- 81
- 63
Habari zenu wakuu,
Naomba msaada wenu kwa tatizo hili kwani bila kupata msaada japo wa mawazo naweza pata hata magonjwa ya zinaa na UKIMWI. Ukweli ni kwamba, tangu nianze kufanya mapenzi sijawahi kupiga bao nikitumia kinga (kondomu). Nimejiuliza sana tatzo ni nini sijapata jibu.
Je, kama ni ugonjwa una tiba? Na kama sio ugonjwa nini cha kufanya ili nifanye ngono salama? Maana naogopa sana magonjwa ya zinaa.
Naomba msaada wa mawazo yenu plz