Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
Habari wanabodi, naombeni mnishauri chakufanya maana nikiweka TBC 1 mwanangu analia sana, nikibadili channel anacheka... Mbaya zaidi hata tukiwa sehemu nyingine nje ya nyumbani akikuta wame tune TBC 1 analia huku ananyoosha mkono kuelekea kwenye TV mpaka mbadilishe channel. Dogo ana miaka 2 kasoro miezi 3.
Nashindwa kuangalia kipindi cha maswali na majibu nifanyeje?
Nashindwa kuangalia kipindi cha maswali na majibu nifanyeje?