Msaada: Nikiweka TBC 1 Mwanangu analia sana

Msaada: Nikiweka TBC 1 Mwanangu analia sana

Mkuu vipi wakati huo hapo kwenye screen kunakuwa na picha ya kiongozi gani labda huenda ndio chanzo[emoji86] [emoji86]
huyo mwanao ni JEEP na inawwzekana ameona picha ya baba J
 
Lazima zile sauti za lubuv na jech zimemuathir sana hasa ile iliyokuwa nzito wakati ikisikika "hashim ... Rungwe amepata kura 08 sawa na asilimia 0.0000015"
 
mkuu hii ya Leo kalii mbona .....

wazungu mtoto kama huyoo washajua kipaji chake au dalili za ujiniasii,

Au jaribu kutafuta kipindi cha katuni kama kipo hapo TBC tuone itakuwajee
 
Hivi chanel hiyo ipo nasikia wabovu wa macho ndiyo wanaoitumia kuongeza nguvu za macho yao
 
Mwanao ana akili kubwa. Achana na hiyo channel ya MACCM.

Habari wanabodi, naombeni mnishauri chakufanya maana nikiweka TBC 1 mwanangu analia sana, nikibadili channel anacheka... Mbaya zaidi hata tukiwa sehemu nyingine nje ya nyumbani akikuta wame tune TBC 1 analia huku ananyoosha mkono kuelekea kwenye TV mpaka mbadilishe channel. Dogo ana miaka 2 kasoro miezi 3.
Nashindwa kuangalia kipindi cha maswali na majibu nifanyeje?
 
Daaaaahhh, kweli JF is a stress free zone.....
 
Yaani Tbc ni yapili kuichukia ukitoka shetani Tbc ni yapili
 
Kila watanzania wanne mmoja anaugua kichaa
 
Back
Top Bottom