Planett
JF-Expert Member
- Mar 20, 2014
- 10,497
- 16,180
wacha wee!KUANGALIA TBC NI LAANA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wacha wee!KUANGALIA TBC NI LAANA
huyo mwanao ni JEEP na inawwzekana ameona picha ya baba JMkuu vipi wakati huo hapo kwenye screen kunakuwa na picha ya kiongozi gani labda huenda ndio chanzo[emoji86] [emoji86]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Ila asigwa dahAtakuwa anaogopa zile sura za watangazaji wa kike.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Ha ha ha mbavu zangu..ni sawa na kuangalia kikao cha wachawi
teh teh teh mkuu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Ila asigwa dah
[emoji23][emoji23][emoji23]dah umenichekesha sanaHa ha ha mbavu zangu..ni sawa na kuangalia kikao cha wachawi
Habari wanabodi, naombeni mnishauri chakufanya maana nikiweka TBC 1 mwanangu analia sana, nikibadili channel anacheka... Mbaya zaidi hata tukiwa sehemu nyingine nje ya nyumbani akikuta wame tune TBC 1 analia huku ananyoosha mkono kuelekea kwenye TV mpaka mbadilishe channel. Dogo ana miaka 2 kasoro miezi 3.
Nashindwa kuangalia kipindi cha maswali na majibu nifanyeje?
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji15] [emoji15]huyo mwanao ni JEEP na inawwzekana ameona picha ya baba J