Msaada: Nikiweka TBC 1 Mwanangu analia sana

katakuwa na makengeza hako katoto .... baadae katakuwa kamwenyekiti
 
Peleka mtoto kanisani aombewe pia ebu jaribu kumuwekea video za wakubwa utaona anavyochekelea kuona mambo ya kishetani
Tamaduni zetu zinavyunjwa kwa ushabiki channel nyingine zina mambo ya kizungu sana .....acha kumwalibu mtoto kwa kumuwekea picha za video chafu
 
Habari wanabodi, naombeni mnishauri chakufanya maana nikiweka TBC 1 mwanangu analia sana, nikibadili channel anacheka... Mbaya zaidi hata tukiwa sehemu nyingine nje ya nyumbani akikuta wame tune TBC 1 analia huku ananyoosha mkono kuelekea kwenye TV mpaka mbadilishe channel. Dogo ana miaka 2 kasoro miezi 3.
Nashindwa kuangalia kipindi cha maswali na majibu nifanyeje?

Watoto wana namna nyingi ya kuwasiliana inawezekana hakutaki na hiyo ni ishara kwamba anakukana, ningekushauri ukanye DNA testing ili kuepuka usumbufu mbeleni!
 
Hahahaaa..... Sina haja na DNA najiamini mkuu.
 
Habari wanabodi, naombeni mnishauri chakufanya maana nikiweka TBC 1 mwanangu analia sana, nikibadili channel anacheka... Mbaya zaidi hata tukiwa sehemu nyingine nje ya nyumbani akikuta wame tune TBC 1 analia huku ananyoosha mkono kuelekea kwenye TV mpaka mbadilishe channel. Dogo ana miaka 2 kasoro miezi 3.
Nashindwa kuangalia kipindi cha maswali na majibu nifanyeje?
Mkuu vipi wakati huo hapo kwenye screen kunakuwa na picha ya kiongozi gani labda huenda ndio chanzo[emoji86] [emoji86]
 
Back
Top Bottom