kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 6,716
- 12,116
leo shwari lakini mbavu zangu hahahaHa ha ha mbavu zangu..ni sawa na kuangalia kikao cha wachawi
Hahahahaha!!!Atakuwa ana element za Ukawa....lazima.
HahahaaaaHa ha ha mbavu zangu..ni sawa na kuangalia kikao cha wachawi
Habari wanabodi, naombeni mnishauri chakufanya maana nikiweka TBC 1 mwanangu analia sana, nikibadili channel anacheka... Mbaya zaidi hata tukiwa sehemu nyingine nje ya nyumbani akikuta wame tune TBC 1 analia huku ananyoosha mkono kuelekea kwenye TV mpaka mbadilishe channel. Dogo ana miaka 2 kasoro miezi 3.
Nashindwa kuangalia kipindi cha maswali na majibu nifanyeje?
Hahahaaa..... Sina haja na DNA najiamini mkuu.Watoto wana namna nyingi ya kuwasiliana inawezekana hakutaki na hiyo ni ishara kwamba anakukana, ningekushauri ukanye DNA testing ili kuepuka usumbufu mbeleni!
Wakamnyonyoerekodi video tuone
Hili nalo la msingi sana,asije kuwa anatafuta visa ya MirembeMuangalieni na ule utafiti wa 4/1!!
Mkuu vipi wakati huo hapo kwenye screen kunakuwa na picha ya kiongozi gani labda huenda ndio chanzo[emoji86] [emoji86]Habari wanabodi, naombeni mnishauri chakufanya maana nikiweka TBC 1 mwanangu analia sana, nikibadili channel anacheka... Mbaya zaidi hata tukiwa sehemu nyingine nje ya nyumbani akikuta wame tune TBC 1 analia huku ananyoosha mkono kuelekea kwenye TV mpaka mbadilishe channel. Dogo ana miaka 2 kasoro miezi 3.
Nashindwa kuangalia kipindi cha maswali na majibu nifanyeje?